mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Sijawaiongelea simu au OS zingine zaidi ya Apple Hizo simu zingine sijui zikoje
basi una matatizo dada angu,yaani wewe hata tim cook akikusikia atakasirika,uko kama mpenzi anayempenda mtu wake sababu hajawahi kuona wengine.
inawezekana siku ukishika hata huawei p30 ukatumia ukawakimbia apple,wewe sio shabiki mzuri.