iPhone 12 haitokubali spare hata kutoka kwa iPhone nyingine

Weka Sawa basi hapo ututoe tongo tongo.
Hapana ila imekuja na usb C, bila charger mkuu wala earphone. Ndiyo maana nikasema hawa wanakoelea ipo siku watauza simu bila betri.
 
Mkuu mtu yoyote anaeongelea sababu ya Nokia kufa ni internal conflicts huwa simpingi sababu nafahamu kinachoendelea na Nokia ilikuwa kubwa sana kupelekea Elop kuia Kabisa.

Ila kusema Nokia haikuenda na wakati ama haikua na product ni ukosefu wa exposure na kilichokuwa kinaendelea wakati huo,

Mwaka 2010 wakati Elop anai discontinue symbian Nokia 5250 ndio ipo sokoni, ilivunja rekodi zote za mauzo even today hakuna smartphone iliouza unit milioni 150. Kwa zaidi ya miaka 4 toka iphone itoke Nokia anauza simu zaidi ya milioni 400 kwa mwaka haya ni mauzo ya Nokia Toka 2007 iphone inatoka mpaka 2011

2007- 435M
2008- 472M
2009- 440m
2010- 461M
2011- 422m

Hivyo mkuu Nokia ilikuwa Vizuri tu kimauzo wakati symbia ipo hai, siku Elop anaidiscontinue symbian na Meego na kuanza kutoa simu za s30+ pamoja na windows phone ndio mauzo yakashuka.

Haya ni mauzo ya iphone at same time frame
2007- 2m
2008- 12m
2009- 24m
2010- 46m
2011- 89M

Miaka 4 ya mwanzo toka iphone izinduliwe mpaka kuuliwa kwa symbian Apple ameuza simu milioni 84 wakati Nokia ameuza kama Bilioni 1.7

Hebu tutumie akili hata 1% inawezekana kweli kwa miaka hii minne kampuni yenye mauzo milioni 80 iliiua yenye bilioni 1.7?

Even today mwaka 2019 wote Apple Ameuza simu milioni 207 tu, hajafikia mauzo ya Nokia unit wise hata nusu.

Hivyo mkuu Nokia hakushindwa Sokoni bali ameshindwa kutokea Ndani ya kampuni, kosa moja la kumuajiri Ceo wa kigeni wa kwanza limewagharimu division ya simu.
Okay.

Smartphone business was in infant stage. Adoption was slow but stead. Ukiangalia hizo data, iphone sales zilikuwa zina pickup, ila sales za nokia zilikuwa zinashuka. At the same time.

Kumbuka pia, nokia alikuwa anauza hata zile simu za $8. Feature phones kama nokia jeneza n.k. ila Apple ali concentrate na flagships tu. Na ukija kwenye actual figures za revenue na profit, apple alimchapa mbali sana nokia. Mpaka leo.

Samsung wameleta flagship za S1 mwaka 2010. Note 1 imetoka 2011. Iphone wametoa iphone 4 na 4s mwaka 2010 na 2011.

Kuanzia 2007 mpaka 2010 kulikuwa na transition kubwa ya mobile phone tech. Smartphone era ndo ilikuwa inazaliwa. Naweza kusema kuanzia 2010 actual adoption ya smartphone ndo ilianza kwa kasi. Hapo Nokia akaanza kuiona joto ya jiwe.

Nokia wakati huo alikuwa ana retain masoko yake ya india, china, africa na s. America ila apple alishaanza mnyanyasa nchi za ulaya na marekani.

Tupe takwimu za revenue, profit and unit sold za simu kati ya apple, samsung na nokia kuanzia 2007 mpaka 2015. Kuna kitu nataka kukuonesha.
 
Kwanza kuna misconception kubwa kwamba android na ios ndio smartphone, even symbian ilikuwa ni smartphone os, na mpaka leo kuna vitu kibao symbian ilikuwa inaweza kufanya na Android na ios haiwezi.

Mpaka Elop burning memo ina Leak symbian ilikuwa ni top os, marketshare ilianza kushuka baada Ya Elop kufanya mambo Yake na kuna Graph maarufu sana inaitwa Elop Effect naiweka hapo Chini.

elop_effect_volume.jpg

Hii inaonesha by Far Nokia alikuwa ndio muuzaji mkubwa wa smartphone na hata ukuaji wa mauzo ya smartphone wa Nokia ulikuwa ni mkubwa kuliko Samsung na Apple, na Hata introduction ya S1 na iphone za wakati huo haukuathiri mauzo ya Nokia.

Hapo ellop effect ndio pale Burning memo ilipoleak, wadau wote wa symbian walikasirika, Elop aka discontinue symbian na mauzo kushuka.

Tudiscuss sasa kabla ya Elop effect,
Ukiangalia mauzo baina ya smartphone Za Nokia na Apple, Nokia walikua wanakua kwa haraka zaidi Kuliko Apple na Gape lilikuwa linaongezeka na sio kwamba linapungua.

Q1 2009 difference ya mauzo ya smartphone baina ya Nokia na Apple Nokia alikuwa akiongoza kama Units Milioni 8 ila miaka miwili baadae Q4 2010 Gape likazidi kuwa kubwa kama Milioni 13 hivi.

Hivyo Nokia alikuwa anakuwa kwa kasi zaidi kuliko Apple hata kwenye smartphone, si visimu vidogo tu.

Kuhusu Mapato mkuu kwa Samsung sidhani kama ni indicator sababu samsung ndio anatengeneza component za ndani hasa memory, Nokia hata Nusu ya samsung kimapato sidhani kama amewahi kufika, hata asipouza simu Samsung yupo juu.

Na ukiangalia mapato ya Nokia pia yalikuwa Safe untill 2011
IMG_20201103_203402.jpg

Then baada ya Hapo yakaanza kuporomoka kwa mwendokasi, hii pia ina prove zaidi graph letu la Elop effect hapo juu.

Hivyo mkuu Nokia haikufa sababu ya Apple ama Samsung, ila kufa kwa Nokia kulisaidia ukuaji wa haraka wa android, Nokia imekufa kwa decision mbaya za Elop.
 
Mkwawa ni mbishi muache na ushabiki wake. Hapa chini ni hiyo Nokia 5250 anayopiga nayo kelele kwamba iliuza sana , ukiilinganisha na iPhone 4 hiyo simu inaonekana kama uchafu mbele ya iPhone.

IMG_0353.jpg

IMG_0355.jpg

IMG_0354.jpg

In 2010 Nokia 5250 inatumia tft screen yan kama plastic flan hivi , in 2010 hiyo cm haina uwezo wa ku access WiFi alafu unaitaja kama success , ndo maana nimesema hayuko serious .

Review wenyewe muone

Cc @Jestkilla
 
Mkuu mtu yoyote anaeongelea sababu ya Nokia kufa ni internal conflicts huwa simpingi sababu nafahamu kinachoendelea na Nokia ilikuwa kubwa sana kupelekea Elop kuia Kabisa.

Ila kusema Nokia haikuenda na wakati ama haikua na product ni ukosefu wa exposure na kilichokuwa kinaendelea wakati huo,

Mwaka 2010 wakati Elop anai discontinue symbian Nokia 5250 ndio ipo sokoni, ilivunja rekodi zote za mauzo even today hakuna smartphone iliouza unit milioni 150. Kwa zaidi ya miaka 4 toka iphone itoke Nokia anauza simu zaidi ya milioni 400 kwa mwaka haya ni mauzo ya Nokia Toka 2007 iphone inatoka mpaka 2011

2007- 435M
2008- 472M
2009- 440m
2010- 461M
2011- 422m

Hivyo mkuu Nokia ilikuwa Vizuri tu kimauzo wakati symbia ipo hai, siku Elop anaidiscontinue symbian na Meego na kuanza kutoa simu za s30+ pamoja na windows phone ndio mauzo yakashuka.

Haya ni mauzo ya iphone at same time frame
2007- 2m
2008- 12m
2009- 24m
2010- 46m
2011- 89M

Miaka 4 ya mwanzo toka iphone izinduliwe mpaka kuuliwa kwa symbian Apple ameuza simu milioni 84 wakati Nokia ameuza kama Bilioni 1.7

Hebu tutumie akili hata 1% inawezekana kweli kwa miaka hii minne kampuni yenye mauzo milioni 80 iliiua yenye bilioni 1.7?

Even today mwaka 2019 wote Apple Ameuza simu milioni 207 tu, hajafikia mauzo ya Nokia unit wise hata nusu.

Hivyo mkuu Nokia hakushindwa Sokoni bali ameshindwa kutokea Ndani ya kampuni, kosa moja la kumuajiri Ceo wa kigeni wa kwanza limewagharimu division ya simu.

Mkuu hapo chini nimeweka iPhone 4 vs hiyo nokia 5250 unayosifia kuvunja record za mauzo. Hapa nikisema hujui simu ntakuwa nakuonea? 5250 haipo kwenye ligi ya iPhone 4 hata robo haigusi, ni kisimu flan inferior sana ambacho hata bei yake ni ndogo sana, on average hii cm ilikuwa around dola 140 wakati iPhone 4 ikiwa dola 400

Hiki kisimu kisingeipeleka Nokia popote , in 2010 simu haina hata gorilla glass bado inatumia plastic ? Hata wifi haiwezi access alafu unaileta hapa kama success story na unalinganisha na iPhone ? Si ajabu nokia ilikufa

IMG_0351.png

Unasema hamna simu imevunja record ya mauzo hayo ? Kwa category ipi ? Angalia mauzo ya iPhone 6 variant utaelewa. Most sold smartphone ni iPhone 6 na mwenzake 6+ (230 millions) na ilikuwa expensive si kama hiyo Nokia tochi yako haifiki hata dola 150. Elop was right ku discontinue hiyo cm Kwa 2010 huwezi kuitegemea I compete na wenzake, ndo maana nilikwambia wao nokia wanajua ila wewe hujui yan ilikuwa ni kama kujaribu Vits vs Range autobiography

Flagship ya nokia in 2010 ilikuwa Nokia N8 , ilikuwa simu kali sana enzi hizo lakini ilipigwa vibaya mno na mauzo ya iPhone 4, vibaya sana yan haikufua dafu. Hii inaonesha ni kiasi gani iPhone alimuua nokia
 
Mjadala mzuri nimesoma mwanzo hadi mwisho lkn nimegundua wengi mnaobishia chief bado hamjasoma hoja yake mkaelewa ila mnachofanya ni comparison tu.
 
Mkuu hapo chini nimeweka iPhone 4 vs hiyo nokia 5250 unayosifia kuvunja record za mauzo. Hapa nikisema hujui simu ntakuwa nakuonea? 5250 haipo kwenye ligi ya iPhone 4 hata robo haigusi, ni kisimu flan inferior sana ambacho hata bei yake ni ndogo sana, on average hii cm ilikuwa around dola 140 wakati iPhone 4 ikiwa dola 400

Hiki kisimu kisingeipeleka Nokia popote , in 2010 simu haina hata gorilla glass bado inatumia plastic ? Hata wifi haiwezi access alafu unaileta hapa kama success story na unalinganisha na iPhone ? Si ajabu nokia ilikufa

View attachment 1618940

Unasema hamna simu imevunja record ya mauzo hayo ? Kwa category ipi ? Angalia mauzo ya iPhone 6 variant utaelewa. Most sold smartphone ni iPhone 6 na mwenzake 6+ (230 millions) na ilikuwa expensive si kama hiyo Nokia tochi yako haifiki hata dola 150. Elop was right ku discontinue hiyo cm Kwa 2010 huwezi kuitegemea I compete na wenzake, ndo maana nilikwambia wao nokia wanajua ila wewe hujui yan ilikuwa ni kama kujaribu Vits vs Range autobiography

Flagship ya nokia in 2010 ilikuwa Nokia N8 , ilikuwa simu kali sana enzi hizo lakini ilipigwa vibaya mno na mauzo ya iPhone 4, vibaya sana yan haikufua dafu. Hii inaonesha ni kiasi gani iPhone alimuua nokia
wapi nimesema 5250 ina compete na iphone 4? usinilishe maneno hata ukitoa mauzo ya 5250 still Nokia walikuwa by far wanauza kuliko iphone, nimetumia 5250 kama mfano kuonesha symbian ilivyokubalika.

na usiongelee kabisa feature maana at that time ios haikua hata na hadhi ya kuitwa smartphone, iphone za mwanzo hata multitask zilikuwa hazina. hazina uwezo wa kudownload apps utakazozikuta ndo hizo hizo, hazina file manager, haziwezi kudownload, hazina support ya flash na mambo kibao.

sijui kama wewe unapenda mpira ngoja nimuite Bavaria yeye kama mpenzi wa mpira aje aniambie kama hawa ni wafungaji bora epl msimu uliopita, mpenzi mwengine wa mpira pia anaweza nisaidia
1. wa kwanza ni Rashford na martial goli 34
2. vardy magoli 23
3. auba 22
4. ings 22
5. sterling 20
je nipo sahihi? kama nipo sahihi basi iphone 6 na 6 plus ni simu inayoongoza kwa mauzo. ukiwa fan wa ios unahitaji kipaji kikubwa sana cha kujitoa ufahamu.
 
Kwanza kuna misconception kubwa kwamba android na ios ndio smartphone, even symbian ilikuwa ni smartphone os, na mpaka leo kuna vitu kibao symbian ilikuwa inaweza kufanya na Android na ios haiwezi.

Mpaka Elop burning memo ina Leak symbian ilikuwa ni top os, marketshare ilianza kushuka baada Ya Elop kufanya mambo Yake na kuna Graph maarufu sana inaitwa Elop Effect naiweka hapo Chini.

elop_effect_volume.jpg

Hii inaonesha by Far Nokia alikuwa ndio muuzaji mkubwa wa smartphone na hata ukuaji wa mauzo ya smartphone wa Nokia ulikuwa ni mkubwa kuliko Samsung na Apple, na Hata introduction ya S1 na iphone za wakati huo haukuathiri mauzo ya Nokia.

Hapo ellop effect ndio pale Burning memo ilipoleak, wadau wote wa symbian walikasirika, Elop aka discontinue symbian na mauzo kushuka.

Tudiscuss sasa kabla ya Elop effect,
Ukiangalia mauzo baina ya smartphone Za Nokia na Apple, Nokia walikua wanakua kwa haraka zaidi Kuliko Apple na Gape lilikuwa linaongezeka na sio kwamba linapungua.

Q1 2009 difference ya mauzo ya smartphone baina ya Nokia na Apple Nokia alikuwa akiongoza kama Units Milioni 8 ila miaka miwili baadae Q4 2010 Gape likazidi kuwa kubwa kama Milioni 13 hivi.

Hivyo Nokia alikuwa anakuwa kwa kasi zaidi kuliko Apple hata kwenye smartphone, si visimu vidogo tu.

Kuhusu Mapato mkuu kwa Samsung sidhani kama ni indicator sababu samsung ndio anatengeneza component za ndani hasa memory, Nokia hata Nusu ya samsung kimapato sidhani kama amewahi kufika, hata asipouza simu Samsung yupo juu.

Na ukiangalia mapato ya Nokia pia yalikuwa Safe untill 2011
View attachment 1618874
Then baada ya Hapo yakaanza kuporomoka kwa mwendokasi, hii pia ina prove zaidi graph letu la Elop effect hapo juu.

Hivyo mkuu Nokia haikufa sababu ya Apple ama Samsung, ila kufa kwa Nokia kulisaidia ukuaji wa haraka wa android, Nokia imekufa kwa decision mbaya za Elop.

Ukiwa kwenye competitive industry kama ya smartphone kosa moja tu, unapoteza soko na kampuni inaweza kufa. Inachukua muda kujenga customer base ila inachukua masaa kupoteza kila kitu.

Nokia sio wa kwanza kufanya makosa ambayo unayaita 'Elop effect' which i don't know what the f... is that. Blackberry na HTC nao walifanya makosa sahivi hawapo sokoni. Sony naye anasuasua.

Nilichogundua mafanikio yanakuja kwa kampuni ambazo zipo flexible kwenye decision making. Zile zenye bureaucracy na conservatism zinaanguka mapema sana mfano mkubwa ni BB na Nokia.

Bado nasisitiza, Nokia alikufa kwasababu ya apple kuleta iphone. Ilikuwa game changer kwenye mobile phobe industry. Mpaka leo hii, siku apple wana unveil iphone, dunia inasimama kufuatilia wanatoa nini. Hata vyombo vikubwa vya habari wanafuatilia anasema nini.

Apple pia anaanzisha trend ambayo ni 'controversy' wengine wanafuata. Mfano mzuri ni 3.5mm jack.
 
Mkwawa ni mbishi muache na ushabiki wake. Hapa chini ni hiyo Nokia 5250 anayopiga nayo kelele kwamba iliuza sana , ukiilinganisha na iPhone 4 hiyo simu inaonekana kama uchafu mbele ya iPhone.

View attachment 1618912
View attachment 1618913
View attachment 1618914

In 2010 Nokia 5250 inatumia tft screen yan kama plastic flan hivi , in 2010 hiyo cm haina uwezo wa ku access WiFi alafu unaitaja kama success , ndo maana nimesema hayuko serious .

Review wenyewe muone

Cc @Jestkilla
Specs wise iphone 4 yupo mbali sana. Yani ni kama flagships za nokia lumia za 2013.

Watu walikuwa wananunua hizo Nokia kwasababu walikuwa hawaijui iphone. Ila baada ya kuanza ku adopt simu, hiyo nokia mauzo yakaanguka mpaka sifuri.
 
wapi nimesema 5250 ina compete na iphone 4? usinilishe maneno hata ukitoa mauzo ya 5250 still Nokia walikuwa by far wanauza kuliko iphone, nimetumia 5250 kama mfano kuonesha symbian ilivyokubalika.

na usiongelee kabisa feature maana at that time ios haikua hata na hadhi ya kuitwa smartphone, iphone za mwanzo hata multitask zilikuwa hazina. hazina uwezo wa kudownload apps utakazozikuta ndo hizo hizo, hazina file manager, haziwezi kudownload, hazina support ya flash na mambo kibao.

sijui kama wewe unapenda mpira ngoja nimuite Bavaria yeye kama mpenzi wa mpira aje aniambie kama hawa ni wafungaji bora epl msimu uliopita, mpenzi mwengine wa mpira pia anaweza nisaidia
1. wa kwanza ni Rashford na martial goli 34
2. vardy magoli 23
3. auba 22
4. ings 22
5. sterling 20
je nipo sahihi? kama nipo sahihi basi iphone 6 na 6 plus ni simu inayoongoza kwa mauzo. ukiwa fan wa ios unahitaji kipaji kikubwa sana cha kujitoa ufahamu.
Well, acha data ziongee.

Iphone 6 na 6+ zimetoka 2014.

Q1 ya 2014:

Mwaka 2014 pekee, Nokia walidrop sales kwa 30%. Nokia smartphone share zimedrop kwa 5% globally.

Nokia waliuza 47 mobile phones, 8 million pekee ndo smarphones na 39 million zilikuwa handsets.

Samsung aliuza 113 million mobile phones, 89 million zilikuwa smartphones.

Apple waliuza 43.7 million Iphones only.

Mpaka hapo unaona ligi imeshabadilika kabisa. Toka dominance mpaka kuja kuuza 8M smartphones.

LG waliuza 12.4 Million smartphones pekee na 4 Million handsets.

Hiyo graph inaonesha mporomoko wa mauzo ya simu za Nokia toka 2010. Mpaka 2014, Nokia ameshachakazwa vibaya sana kwenye sales. Kama Q1 anauza 8M smartphones basi kwa mwaka aliuza 32M smartphones pekee wakati Apple Q1 ame clock 43M sales pekee.

Na Samsung ndo alikuwa king wa smartphones sales kwa huo mwaka kwasababu Q1 pekee aliuza 80M smartphones. Nokia kauza onlu 10% ya Samsung.

573c8f2152bcd01f7b8c3626.jpg
 
Chief-Mkwawa

Angalia tena hiyohiyo 2010 jinsi Blackberry na Apple wananyanyaswa tena na Apple na Samsung.

Mpaka hapo unaona kabisa shift ya smartphone era ilianza 2007 mpaka 2010 tayari Blackberry na Nokia walishaelekea kibla.

Kuanzia 2010 mpaka 2015 vifo vyao vilikuwa ni dhahiri.

Wakati huo apple alikuwa anatoa simu 1 au 2 tu. Na zote ni flagships na kwenye sales Nokia anakaa na model zake 20 kwa mwaka.
Screenshot_20201104-022706_CNET.jpg
 
Chief-Mkwawa

Slogan ya Iphone 4: "This changes everything. Again." Hiyo ni 2010.

Ndani ya siku 3 za mwanzo waliuza 1.7M units.

Iphone 3gs na 3 waliuza unites 1M kila moja in the first weekend of sales.

Tayari apple alishaanza tengeneza loyal customers toka 2008.

Ukiwa kwenye competitive industry kama ya smartphone kosa moja tu, unapoteza soko na kampuni inaweza kufa. Inachukua muda kujenga customer base ila inachukua masaa kupoteza kila kitu.

Nokia sio wa kwanza kufanya makosa ambayo unayaita 'Elop effect' which i don't know what the f... is that. Blackberry na HTC nao walifanya makosa sahivi hawapo sokoni. Sony naye anasuasua.

Nilichogundua mafanikio yanakuja kwa kampuni ambazo zipo flexible kwenye decision making. Zile zenye bureaucracy na conservatism zinaanguka mapema sana mfano mkubwa ni BB na Nokia.

Bado nasisitiza, Nokia alikufa kwasababu ya apple kuleta iphone. Ilikuwa game changer kwenye mobile phobe industry. Mpaka leo hii, siku apple wana unveil iphone, dunia inasimama kufuatilia wanatoa nini. Hata vyombo vikubwa vya habari wanafuatilia anasema nini.

Apple pia anaanzisha trend ambayo ni 'controversy' wengine wanafuata. Mfano mzuri ni 3.5mm jack.

Na dunia kweli inasimama na wafuatiliaji wa karibu weng ni ile team ya upande ule ambao utaskia Upande huu sisi hiki kitu au features tulikua nayo 2010 au 11 sasa nyie apple ndio mnatoa 2020 mbona mmechelewa hua tunakaa kimya tunasema sawa wacha kiwe kipya kwetu baaadae wanaanza weweseka tena hua nawashangaa sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ukiwa kwenye competitive industry kama ya smartphone kosa moja tu, unapoteza soko na kampuni inaweza kufa. Inachukua muda kujenga customer base ila inachukua masaa kupoteza kila kitu.

Nokia sio wa kwanza kufanya makosa ambayo unayaita 'Elop effect' which i don't know what the f... is that. Blackberry na HTC nao walifanya makosa sahivi hawapo sokoni. Sony naye anasuasua.

Nilichogundua mafanikio yanakuja kwa kampuni ambazo zipo flexible kwenye decision making. Zile zenye bureaucracy na conservatism zinaanguka mapema sana mfano mkubwa ni BB na Nokia.

Bado nasisitiza, Nokia alikufa kwasababu ya apple kuleta iphone. Ilikuwa game changer kwenye mobile phobe industry. Mpaka leo hii, siku apple wana unveil iphone, dunia inasimama kufuatilia wanatoa nini. Hata vyombo vikubwa vya habari wanafuatilia anasema nini.

Apple pia anaanzisha trend ambayo ni 'controversy' wengine wanafuata. Mfano mzuri ni 3.5mm jack.
Tatizo hamjibu hoja munaleta story ngoja tuzifupishe tena
1. Kampuni inayouza simu za mamilioni ina replace vipi kampuni inayouza simu hadi za 30k? Yule mkulima kule kijijini aliekua anatumia kitochi sasa hivi ana iphone x?

2. Kama Apple alimuua Nokia kwanini hata Nusu ya Mauzo ya Nokia hajafikia?

3. Kwanini Miaka Yote Apple yuko sokoni Nokia hajakufa mpaka Elop alipo discontinue symbian?
 
Chief-Mkwawa

Slogan ya Iphone 4: "This changes everything. Again." Hiyo ni 2010.

Ndani ya siku 3 za mwanzo waliuza 1.7M units.

Iphone 3gs na 3 waliuza unites 1M kila moja in the first weekend of sales.

Tayari apple alishaanza tengeneza loyal customers toka 2008.

Mkuu nimekuekea mauzo ya smartphone ya miaka 4 by Far Nokia Alikuwa juu, so tuache data kubwa zinazo cover miaka minne then tutumia data za siku ama wiki moja na kuamua fate ya kitu?
 
Back
Top Bottom