hapa mkuu umeingia chaka, Nokia kwa maana symbian zilikuwa na whatsapp, kipindi hicho ilikuwa ni kawaida kukuta fans wa hizo os mbili wakililia apps mbalimbali zilizokuwa kwenye os za Nokia, nakumbuka siku firefox inazinduliwa kwenye maemo ikiwa na full support ya flash, ulikuwa unaweza angalia youtube, ukaingia firstrow kucheki mpira etc, it was revolutionary, hukuweza fanya haya mambo kwenye android ama ios.
kama hufahamu mkuu, that time hata android haikuwa na copy and paste,
siku Elop anasema symbian ni burning platform Nokia ilikuwa ni Kubwa kuliko Apple na Samsung combined, Nokia haikufa kwa external factor kama watu wengi wanavyodanganywa bali ni ujinga wa watu fulani ndani ya Nokia.
Mkuu kuna kitu kikubwa sana hujakielewa, yan bado unaongelea quantity kwamba iliweza kufanya hiki mara kile, issue ni kwamba baada ya iphone ya kwanza kutoka simu tech ikabadilika na kudhibitisha hili ndo tech tuliyonayo kwa sasa, hauhitaji imagination kuona , we angalia tu simu zilizopo kwa sasa zilinganishe na hizo nokia zako, na iphone ya kwanza ndo utajua kwamba tech ilibadirika kufuata upepo wa iphone. Hii ni fact si mambo ya kubishana.
Kila siku nawaambia the best tech siyo ile inaweza fanya kile au hiki, best ni inafanyaje hicho kitu . Mambo ya kukosa au kuwa na copy and paste siyo issue.
Kwa hiyo issue siyo how many task issue ni how do u do them. Iphone was revolutionary na hili jambo ukiweka ushabiki pembeni utakubaliana nalo.
Hao ni investopedia ukipata muda pitia hiyo article .