iPhone 12 haitokubali spare hata kutoka kwa iPhone nyingine

iPhone 12 haitokubali spare hata kutoka kwa iPhone nyingine

Sisi kama Apple Fans tumesema hata walete simu kwenye mfuko wa plastics hatuachi kununua iPhone au bidhaa zao tumefunga nao ndoa ya kikatoliki hatuachani kamwe hii iPhone12 ni Simu sio kitoto kwanza lile umbi lake kuishika unafeel haswa,Nimesema hata walete simu Zao Betri unanunua peke ake nitaendelea kua Team Apple mpaka wakufe ndio nitaacha.[emoji16] APPLE FOREVER[emoji3590]
 
Maisha yanaenda kasi sana na tenoloji inabadilika sana, just imagine leo intel kakabwa koo na AMD taratibu taratibu japo bado lakini anamtisha tisha
Technology inaendelea kwa kasi sana, lakini nchi yetu iko busy kuzima mitandao watu wasipate access ya technology. Dah
 
Sisi kama Apple Fans tumesema hata walete simu kwenye mfuko wa plastics hatuachi kununua iPhone au bidhaa zao tumefunga nao ndoa ya kikatoliki hatuachani kamwe hii iPhone12 ni Simu sio kitoto kwanza lile umbi lake kuishika unafeel haswa,Nimesema hata walete simu Zao Betri unanunua peke ake nitaendelea kua Team Apple mpaka wakufe ndio nitaacha.[emoji16] APPLE FOREVER[emoji3590]
Tulia wewe. Hawakulipi hao
 
una neno gani la kuwaambia wenye iphone 11 mpaka saa hizi[emoji2960][emoji2960].
 
una neno gani la kuwaambia wenye iphone 11 mpaka saa hizi[emoji2960][emoji2960].

Wajipige pige mifuko wauze 11 hiyo waje huku 12 ni milion 2.8 tu kwa Pesa za Ki Tz sie wengine hatutak kupitwa kitu
 
Haya mambo tunalalamikia sisi waafrica ambao sio dedicated market yao, Yaani mswahili mimi niwalalamikie apple kuwa kitu kikialibika sijui spare wakati wateja wao simu zikisumbua kidogo zinafanyiwa refurb then tunauziwa sisi huku. Hizo features walizoweka ni favourable kwa soko lao, sisi tungekuwa soko lao wangetuwekea dealel.
 
Bora umeandika wewe wengi wanaolia lia humu kwanza unakuta ana ki iPhone 5 kimechakaa au ana Tecno ya 170k [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]watuachw tunaoweza badili simu za apple kila mwaka
 
huu ugonjwa unawakita sana watumiaji wa I phone haswa wageni...
.
bas ukishakuwa na iyo iphon x au 11 unaona ushamaliza dunia nzima wakt nyumbani kwako unamatatizi kibao...
.
pole sana...
 
Si kweli simu karibia zote kama sio zote za Android zina support usb power delivery, kinachofanyika ukitumia charger ya simu moja kwenda nyengine hupati tu ile fast charging kubwa ila itachaji kwa usb power delivery ambayo simu husika ina support. Hivyo badalawa ya 45w unaweza pata 25w ambayo ni sahihi kabisa kutokana simu zinatumia tech tofauti za fast charging.

Na mtoa Mada anaongelea vitu kutoingiliana baina ya simu moja, kwamba vioo vya iphone 12 haviingiliani, ina maana hii itaua hata mafundi, na huku kwetu tunaonunua refurb ndio itatuathiri zaidi.
Note 20 ultra charger yake tofauti kabisa headphone pin tofauti kabisa wala huwezi kuazimana na yoyote kwa sasa.
 
huu ugonjwa unawakita sana watumiaji wa I phone haswa wageni...
.
bas ukishakuwa na iyo iphon x au 11 unaona ushamaliza dunia nzima wakt nyumbani kwako unamatatizi kibao...
.
pole sana...

Team iPhone since 2007 na Kila mwaka nabadili Simu wakitoa na Team Apple toka 2004 kwenye zile iPod sasa sijui una jipya gani matatizo unayo wewe maskini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Acha utani bro, wanweza kuwa na support from devs ila ni a dead platform. Kwanza tayari ishakua discontinued. Market share says Nokia hana hela or fans kma ilivyokua zaman. Nokia fans hawawez fikia fans wa Apple or Samsung hata siku moja. Hawana market share kabisa sikuhizi ukilinganisha na hzo company zingine
Umeongea tofauti na ulichoongea mwanzo, mwanzo uliongelea past tense kwamba Apple haiwezi kufa sababu ina fans wengi unlike Nokia na Blackberry.

Nokia alikuwa na Fans wengi kuliko kampuni yoyote ile, peak Nokia walikuwa wanauza simu mpaka milioni 500 kwa mwaka, nenda Nchi zenye watu wengi Ukitoa Us kama Russia, China, Brazil, India, indonesia, Nigeria, Egpty etc kote Huku Nokia ilikuwa inafahamika zaidi.
 
Sure mkuu teknolojia inaenda kasi sana.
Hivi huduma ya google ya cloud gaming inafanya vizuri au nayo imepokelewa vibaya kama ilivyokuwa kwa huduma zake nyingine ambazo ameziua?
Pia niliona Jeshi la Marekani limeipa Microsoft tenda ya dollar tilion kumi kubadili miundombinu yao kwenda kwenye cloud wakati inadaiwa Amazon ndiye alikuwa ana vigezo vya kupata hiyo tenda ila kwakuwa Trump ana bifu na Mmiliki wa Amazon akaingilia mchakato. Kuna wanaodai kuwa Microsoft pia kupitia Azure ana experience na teknolojia zaidi ya Amazon. Ningependa kusikia angle yakojuu ya hili.
Tunapoongelea capacity hakuna Anaemfikia Amazon kwenye Cloud, jamaa ni wa zamani na wana power karibia nusu nzima ya Cloud system zote duniani.

Azure ni ya Pili nyuma Ya Amazon, hawajafikia Level za AWS ila huwezi ku ignore utaalamu wa Microsoft wanapodeal na Biashara kubwa, na unaponunua kwa Microsoft kama biashara unapata integration nzuri na Exchange, 365 etc ambayo watakuwa wanatumia.

Pia ukiangalia serikali huwa haipendi monopoly, Aws sababu wana marketshare kubwa kwao inapendeza wakimsaidia mwengine, kipindi cha Windows phone pia NYC walitumia Lumia badala ya iphone na Android

Kuhusu stadia kiasi fulani wamefanikiwa sema quality wise Nvidia na Msft wapo vizuri.
 
Google Stadia haifanyi vizuri. Kwa sasa Geforce Now na Xbox Gamepass ndio zinafanya vizuri
Gamepass sio cloud system bali ni aina ya ununuaji game kwa kulipia kila mwezi, games zake unadownload na kucheza offline.

Cloud system ya microsoft inaitwa project Xcloud
 
mkuu kama sina kumbu kumbu wenge limeanzia iphone ×.

ukibadili kioo tu msala,kinaondoka na face id au kinapungua sensor touch.sababu hawataki spare za simu iliyofungwa(icloud) zipate soko,kama mnavyofanya bongo kuuza simu spare zilizofungwa icloud.

wanataka uende store zao(kwa dealers wao tu)sijui kama wapo bongo,wakuchape kioo cha iphone x OG ambacho hakipungui 500k ambacho ni kipya hakijawahi kutumika na simu yoyote.hapo ndio mambo yatakuwa safi.
Hii Technology ipo pia kwenye tonner za HP printers,Iwapo utaweka fake au ,refub Tonner printer inagoma kufanya kazi,Katika hii technology kwenye kifaa husika kunawekwa Programmerble chip yenye kutoa uhalisia...ila wachina wakaja na programing kit ambayo inafake info na fake tonners zinakubali,so ata kwa Iphone itakuwa hivyo
 
Note 20 ultra charger yake tofauti kabisa headphone pin tofauti kabisa wala huwezi kuazimana na yoyote kwa sasa.
Nadhan unacho maanisha ni kwamba wanatumia Type C to Type C cable baadala ya Type C to Type A iliyokua inatumika zaman. Type C sio kitu kipya, simu kibao zinazo. Kuanzia A20 kwenda juu zote zinatumia Type C. Na unaweza tumia Type C to Type A hata kwenye note 20. Ile ni cable tu mzee. Pia earphones wanazokupa ni za Type C pia kwasabab headphone jack (3.5 mm jack) imetolewa. Tena ni kuanzia S10 huko.

Angalia hzo picha hapo mbili, moja ni Type C to Type C, ya pili ni Type C to type A ndio tulizozoea

ba17c09c48b7de9042846ed66873aff7_3e54303c-a734-4949-a4c1-45c0fb2edfaf_1200x1200-1.jpg
in-cable-combo-dg930-ep-dg930ibegin-frontblack-119451395.jpeg.jpg
 
Attachments

  • in-cable-combo-dg930-ep-dg930ibegin-frontblack-119451395.jpeg.jpg
    in-cable-combo-dg930-ep-dg930ibegin-frontblack-119451395.jpeg.jpg
    14.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom