hapa mkuu umeingia chaka, Nokia kwa maana symbian zilikuwa na whatsapp, kipindi hicho ilikuwa ni kawaida kukuta fans wa hizo os mbili wakililia apps mbalimbali zilizokuwa kwenye os za Nokia, nakumbuka siku firefox inazinduliwa kwenye maemo ikiwa na full support ya flash, ulikuwa unaweza angalia youtube, ukaingia firstrow kucheki mpira etc, it was revolutionary, hukuweza fanya haya mambo kwenye android ama ios.
kama hufahamu mkuu, that time hata android haikuwa na copy and paste,
siku Elop anasema symbian ni burning platform Nokia ilikuwa ni Kubwa kuliko Apple na Samsung combined, Nokia haikufa kwa external factor kama watu wengi wanavyodanganywa bali ni ujinga wa watu fulani ndani ya Nokia.