Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro, company ambayo iko worth almost 2 trillion US dollar haiwezi kufa hata kwa dawawapuuzi sana hawa. kifo chao kimefika
Unajua at its peak blackberry ilikuwa ina thamani ya 55bn lakini within 2years ilishuka na kuwa less than 3bn. Yes iPhone ni 2 tillion dollar company na sitegemei ishuke leo au kesho.Bro, company ambayo iko worth almost 2 trillion US dollar haiwezi kufa hata kwa dawa
The thing is, Apple wana loyal fans ambao hawawezi kuwapinga hata siku moja. Hata kesho wakiamua kuleta simu imefungwa kwenye bahasha fans wao watakubali tu. Na pia Apple imekua associated with luxury, na watu wengi wanapenda show off.Unajua at its peak blackberry ilikuwa ina thamani ya 55bn lakini within 2years ilishuka na kuwa less than 3bn. Yes iPhone ni 2 tillion dollar company na sitegemei ishuke leo au kesho.
Ila tu nilitaka kusem now kampuni ikianguka inaanguka kwa speed kuliko ilivyokuwa miaka 10 nyuma. Na kwasasa kampuni ikipanda inapanda wa speed kuliko ilivyokuwa miaka kumi nyuma.
Theranos ilitoka kuwa ampuni ambayo ilikuwa worth 10.5 billion in value to 0 just within a week.
Blackberry ilikuwa na fanbase na royal fans pia. Kilichoiua Blackberry ni kufikiria kwamba wanajua sana wateja wao wanachotaka kuliko wateja wenyewe. Actually, blackberry alihisi wateja wanajali sana kuhusu simu kukaa na charge akahisi hilo litamfanya iPhone afail.The thing is, Apple wana loyal fans ambao hawawezi kuwapinga hata siku moja. Hata kesho wakiamua kuleta simu imefungwa kwenye bahasha fans wao watakubali tu. Na pia Apple imekua associated with luxury, na watu wengi wanapenda show off.
Tofaut na BlackBerry or Nokia ambao hawana loyal fans kivile. Na kilichochnagia hizo company kufa ni kwasababu walikua hawataki kwenda na changes made in the smartphone world. Waling'ang'ania ma software na ma design ya zamani yaliyopitwa na mda. Soko likasogea mbele likawaacha nyuma
Si kweli simu karibia zote kama sio zote za Android zina support usb power delivery, kinachofanyika ukitumia charger ya simu moja kwenda nyengine hupati tu ile fast charging kubwa ila itachaji kwa usb power delivery ambayo simu husika ina support. Hivyo badalawa ya 45w unaweza pata 25w ambayo ni sahihi kabisa kutokana simu zinatumia tech tofauti za fast charging.Hii ni mbinu za kibiashara makampuni yote tu hata Note 20 charger iko tofauti na system zote ukinunua baada ya muda utauziwa upgrade system maana utaambiwa spare hazitengenezwi tena lakini lipa kiasi hichi upate upgrade sababu tech inakuwa haraka na wateja wakubwa mfano majeshi sasa hawa wanataka latest tech inabidi makampuni yakimbizane na wakati, ndio maana hata simu huwa mara kwa mara unatumia software upgrade. zamani ulikuwa ukinunua bulb basi itawaka mpaka utapata wajukuu wewe unasafisha vumbi tu sasa viwanda vikiuza bidhaa inakaa sana kwenye matumizi uzalishaji unapungua siku hizi hakuna unanunua inawekwa life time baada ya muda inaungua kazi inaendelea ukija kwenye LED taa hubadilishi transformer inaungua utanunua tu viwanda vinafanya kazi.
Are you serious unaposema Nokia Hana fans?The thing is, Apple wana loyal fans ambao hawawezi kuwapinga hata siku moja. Hata kesho wakiamua kuleta simu imefungwa kwenye bahasha fans wao watakubali tu. Na pia Apple imekua associated with luxury, na watu wengi wanapenda show off.
Tofaut na BlackBerry or Nokia ambao hawana loyal fans kivile. Na kilichochnagia hizo company kufa ni kwasababu walikua hawataki kwenda na changes made in the smartphone world. Waling'ang'ania ma software na ma design ya zamani yaliyopitwa na mda. Soko likasogea mbele likawaacha nyuma
Android na ios wapo kwenye position ambayo ni ngumu kwa sasa kufa, sema hizi network kama 5g, na system mbali mbali za clouds zinaweza kuwaathiri sana, maana tunakwenda kwenye stage ambayo hata uwe na simu kimeo unaweza ukacheza game za ps5,Blackberry ilikuwa na fanbase na royal fans pia. Kilichoiua Blackberry ni kufikiria kwamba wanajua sana wateja wao wanachotaka kuliko wateja wenyewe. Actually, blackberry alihisi wateja wanajali sana kuhusu simu kukaa na charge akahisi hilo litamfanya iPhone afail.
Kwasasa iPhone naona japo imekuwa shipped bila charger na earphones bado imeuza vizuri, ila kwa mwelekeo huu ipo siku atawatibua hata mafans
Sure mkuu teknolojia inaenda kasi sana.Android na ios wapo kwenye position ambayo ni ngumu kwa sasa kufa, sema hizi network kama 5g, na system mbali mbali za clouds zinaweza kuwaathiri sana, maana tunakwenda kwenye stage ambayo hata uwe na simu kimeo unaweza ukacheza game za ps5,
Hivyo itafikia stage mtu kuwa na apps na games nyingi hakutegemei na os unayotumia bali cloud system gani uliyosubscribe,
Hii itasababisha hardware kutokuwa muhimu tena brandwise.
Acha utani bro, wanweza kuwa na support from devs ila ni a dead platform. Kwanza tayari ishakua discontinued. Market share says Nokia hana hela or fans kma ilivyokua zaman. Nokia fans hawawez fikia fans wa Apple or Samsung hata siku moja. Hawana market share kabisa sikuhizi ukilinganisha na hzo company zingineAre you serious unaposema Nokia Hana fans?
Tupo 2020 miaka zaidi ya 10 toka Elop Aseme Symbian ni burning platform na mpaka leo symbian ina support kubwa ya developers kushinda hata os mpya kama kai os ambayo inauza mamilioni.
Google Stadia haifanyi vizuri. Kwa sasa Geforce Now na Xbox Gamepass ndio zinafanya vizuriSure mkuu teknolojia inaenda kasi sana.
Hivi huduma ya google ya cloud gaming inafanya vizuri au nayo imepokelewa vibaya kama ilivyokuwa kwa huduma zake nyingine ambazo ameziua?
Pia niliona Jeshi la Marekani limeipa Microsoft tenda ya dollar tilion kumi kubadili miundombinu yao kwenda kwenye cloud wakati inadaiwa Amazon ndiye alikuwa ana vigezo vya kupata hiyo tenda ila kwakuwa Trump ana bifu na Mmiliki wa Amazon akaingilia mchakato. Kuna wanaodai kuwa Microsoft pia kupitia Azure ana experience na teknolojia zaidi ya Amazon. Ningependa kusikia angle yakojuu ya hili.
Mkuu ilipoanza ilikuwa kwenye software level, lakini sasa it seems kila component iko signed for that specific phone tena hii ni hardware level.
Mkuu hii kitu alianzisha alipotoa iOs 10 akatoa update, walioupdate simu kama unakumbuka watu wakaanza kulalamika kuwa simu zao zinazinua wale waliowai kuzifanyia any repair nje ya maduka ya apple. Baadae walipoona malalamiko yamezidi, wakatoa patch ya kuondoa hili. Alipotoa iPhone X, ikaja tena na hii kitu lakini ni still watu walikuwa wanaweza kwenda around it.Mkuu its either iphone huzijui au hujawahi tumia unasikia tu wenzako. Unavyosema ilikuwa kwenye Software version pekee unamaanisha nn?Toka zamani kwenye iphone x kwenda juu vioo, battery etc viko linked na circuit ya simu ukibadilisha tu lazima kuwe na tofauti either trutone kwenye display kupotea au bettary heath kutosoma nk nk models za mbele(11) ndo ikaja hio notification yako ukibadili wanasema ulichoweka kipya sio og nk hicho ulichokileta leo kimeshafanyika kwenye models zilizopita 12 ni muendelezo ndio maana nakhshangaa unavyoona kama ni kitu kipya
Mkuu hii kitu alianzisha alipotoa iOs 10 akatoa update, walioupdate simu kama unakumbuka watu wakaanza kulalamika kuwa simu zao zinazinua wale waliowai kuzifanyia any repair nje ya maduka ya apple. Baadae walipoona malalamiko yamezidi, wakatoa patch ya kuondoa hili. Alipotoa iPhone X, ikaja tena na hii kitu lakini ni still watu walikuwa wanaweza kwenda around it.
Hii ya kwenye iPhone 12 amekwenda mbali zaidi kiasi kwamba mtu hawezi kwenda around it yani ni sawa kama ambavyo huwezi tumia kadi ya DSTV kwenye decodar nyingine. Yani imekuwa software and hardware tofauti na simu kama iPhone 11 ana X
I am sure wachina watapata loophole, lakini huyu jamaa siyo mtu mzuri hata icloud alianza hivi hivi alipofika iphone 5s akaigeuza kuwa si tu software level mpaka hardware level ikaanza kuwa tatizo kuondoa iCloud ikawa inachukua muda kupata loophole na muda mwingine hata hakuna.Sawa mkuu nimekupata.
Hii kitu effect yake tutakuja kuiona miaka kama mitatu mbele baada ya simu zinazotoka leo kuanza kuharibika haribika na pia baada ya refurbrished zake kutapakaa sana Tanzania. Wasiwasi wangu ni wabongo wangapi wataweza kufunga only genuine spare parts za iphone mfano ikiharibika??
Anyways lets pray and hope China people will find a way around this as they always do
Geforce Now ni cloud gaming service kma Google Stadia ila inamilikiwa na NvidiaUnaposema Geforce ina maana unaongelea kwa upande wa PC?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Iphone users wataunga mkono kama kawaida yao...mbona mengi tu wanabaniwa na wameridhika nayo [emoji3]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app