Well, acha data ziongee.
Iphone 6 na 6+ zimetoka 2014.
Q1 ya 2014:
Mwaka 2014 pekee, Nokia walidrop sales kwa 30%. Nokia smartphone share zimedrop kwa 5% globally.
Nokia waliuza 47 mobile phones, 8 million pekee ndo smarphones na 39 million zilikuwa handsets.
Samsung aliuza 113 million mobile phones, 89 million zilikuwa smartphones.
Apple waliuza 43.7 million Iphones only.
Mpaka hapo unaona ligi imeshabadilika kabisa. Toka dominance mpaka kuja kuuza 8M smartphones.
LG waliuza 12.4 Million smartphones pekee na 4 Million handsets.
Hiyo graph inaonesha mporomoko wa mauzo ya simu za Nokia toka 2010. Mpaka 2014, Nokia ameshachakazwa vibaya sana kwenye sales. Kama Q1 anauza 8M smartphones basi kwa mwaka aliuza 32M smartphones pekee wakati Apple Q1 ame clock 43M sales pekee.
Na Samsung ndo alikuwa king wa smartphones sales kwa huo mwaka kwasababu Q1 pekee aliuza 80M smartphones. Nokia kauza onlu 10% ya Samsung.
Nokia Corporation. (NOK) handset sales in Q1 2014 fell by 30% despite of Microsoft acquisition. Apple may leapfrog to 2nd place in global mobile
dazeinfo.com
View attachment 1619078