BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Ni mabadiliko makubwa sana kwa sababu kuanzia iPhone 6s mpaka iPhone 13 zote zinatumia 12MP.
Megapixels 48 ni tofauti na Megapixel 12 kwa sababu MP48 inakusanya details nyingi katika picha na video kuliko 12MP.
Jambo la kuwafahamisha watumiaji wa iPhone 14 Pro na iPhone 14 Pro Max; picha na video za simu hizo - zitakuwa zinatumia Storage kubwa sana kuliko kawaida.
ProRAW ni format ya Apple ambayo inatumika katika picha ambazo zina High Quality zaidi. Katika iPhone 14 Pro na Pro Max zitakuwa zinatumia zaidi ya 70MP kwa picha MOJA.
Hii inamaanisha ukipiga picha 10 za ProRaw katika iPhone 14 Pro na Pro Max zitakuwa na zaidi ya 500MP na ukipiga picha 20 za ProRaw zinachukua storage ya 1GB. iPhone 14 Pro zinatumia Storage kubwa mara 4 ya iPhone 13 mpaka iPhone Xr.
iPhone 13 Pro na Pro Max zitakuwa zinatumia storage kubwa sana kwa wale ambao wanapenda kupiga sana picha. Nadhani njia nzuri ya kuweka sawa tatizo hilo ni kuweka ProRaw iwe inatumika pale ambapo unataka picha za High Quality mfano Photo-shooting au picha za kupost.
Kama unatumia kwa kupiga picha za kawaida mfano picha za notes, page za vitabu au vitu ambavyo unataka ukumbuke na hauna ulazima sana wa kutumia High Resolution, sio vyema sana kuweka ON settings za ProRAW formats.
Ripoti za mwisho zinaonyesha kampuni ya Apple inafanyia kazi maboresho mapya ya kupunguza ukubwa wa format za ProRAW katika iPhone 14 Pro na Pro Max ili kuondoa kero hii.