mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Ukinunua iphone toka Ulaya na US utaona utofauti mkubwa sana na za Makumbsho.
Almost 95% ya iphone zinazouzwa bongo ni feki.
mkuu nawewe usiwe kama mange bana.
iphone masoko ya bongo sio feki,ni zile ambazo zilizingua kwa mtumiaji wa kwanza au mpaka wa pili zikarudishwa kiwandani au kwa technician kuwekwa sawa,kisha kurudishwa kwenye mabox na kuuzwa tena.
ni kweli kwamba zinakuwa na viwango vya chini ukilinganisha na standard za US maana sio mpya,zimewekwa camera za hapa na pale na vifaa vingine vya uchochoroni huko.
na ili kuelewa hilo swala kutana na mtu amenunua simu hapa hapa bongo akiita mpya au maarufu full boxed,na aliyenunua simu hiyo hiyo hapa bongo lakini ni used from US and so,utagundua jambo jipya.
mimi nilinunua iphone 6s used from us,ikiwa na BH 86% ilikuwa inakaa na charge kuliko ya mshikaji yenye 100%
jamaa pia akaja na pixel 4 kutoka US,ilikuwa inatenda dhambi kuliko nyingine nilizozikuta maduka ya hapa bongo hasa ktk display na camera.