iPhone 15 imetambulishwa tujiandae na msiba

iPhone 15 imetambulishwa tujiandae na msiba

PILSNER

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
437
Reaction score
755
Mwagona.

Ujio wa matoleo ya iPhone kwa Tanzania huwa ni msiba mkubwa hasa Wazazi Wanaume na makaka.

Kwani hicho ndo huwa visa vya dada zetu kuliwa tunda kimasihara kisa simu.

Tujiandae kusikia matukio ya hawa ndugu zetu ambayo chanzo ni tamaa.

Uzi tayari

Apple-iPhone-15-lineup-hero-geo-230912_inline.jpg.large.jpg

.
 
Alafu apple wana akili sana, maneno mengi, mabadiliko kiduchuuu, ila sasa. Acha wajanja tunasubiri pixel 8 baba wa software, nyie wa show off na status symbol pambaneni na iphone. Hazina jipya kwanzia 12 mpaka 15.
 
Alafu apple wana akili sana maneno meeengi,mabadiliko kiduchuuu, ila sasa. Acha wajanja tunasubiri pixel 8 baba wa software, nyie wa show off na status symbol pambaneni na iphone. Hazina jipya kwanzia 12 mpaka 15.
Kama hata wewe umegundua kua Apple maneno mengi ila mabadiliko kiduchu,inakuaje tena unawaita kua wana akili sana?
 
Na figo ndio hiyo umebakia nayo moja baada ya kuiuza ili upate iPhone 14.

Tozi utafanyaje ili uvimbe mtaani na hela huna afu ukicheki umebaki na bandama tu ambazo hazina dili sokoni?
😂😂😂😂😂Hii idea ya biashara kabisa

unatafuta connection ya mbupu alafu unakuja kujumua bongo unakua unabadilishana I phone kwa mbupu... Kitalaam inaitwa change in motion.....
 
Binafsi sionagi sababu ya mtu/watu kukimbizana na matoleo mapya ya simu kila yanapotoka..

Unakuta mtu ana 14, kuna Apps zipo kwenye hiyo simu hajawahi kuzitumia, na mbaya zaidi hajui kazi yake, then 15 ndiyo hiyo anakimbizana nayo tena..

Anyway...Mtaniambia nitafute hela...Ni sawa.
 
Binafsi sionagi sababu ya mtu/watu kukimbizana na matoleo mapya ya simu kila yanapotoka..

Unakuta mtu ana 14, kuna Apps zipo kwenye hiyo simu hajawahi kuzitumi, na mbaya zaidi hajui kazi yake, then 15 ndiyo hiyo anakimbizana nayo tena..

Anyway...Mtaniambia nitafute hela...Ni sawa.
ni vijana sana sana, wanapenda kujionesha
 
Back
Top Bottom