iPhone 15 imetambulishwa tujiandae na msiba

iPhone 15 imetambulishwa tujiandae na msiba

samsung ni nzuri sana
ila bei juu.. matumizi yangu ya simu.. ni kupiga kupokea tuma message na kupokea iwe na uwezo wa install google chrome na ku run , kuintall signal, whats na tellgram sina matumizi zaidi ya hapo.. inakuaje ninunue simu ya 3 million .. wakati ya elfu 80 inamaliza kwele zangu 😅😅
 
ila bei juu.. matumizi yangu ya simu.. ni kupiga kupokea tuma message na kupokea iwe na uwezo wa install google chrome na ku run , kuintall signa, whats na tellgram sina matumizi zaidi ya hapo.. how come ninunu simu ya 3 million .. wakati ya elfu 80 inamaliza kwele zangu 😅😅
unanunua samsung ya 300k, zipo

ila nnavopenda simu nikibahatika kushika hela natengeneza collection kabisa😂
 
unanunua samsung ya 300k, zipo

ila nnavopenda simu nikibahatika kushika hela natengeneza collection kabisa😂
laki tatu mingi sana bro.. sema unapenda simu.. ila kuna simu za mafungu huwa elfu 70 nzuri sana, za mtumba wa dubai vipo bomba kinoma kuanzia prosesa, ram na storage vina 32 GB.. maisha safi na havipashi moto😅😅😅..
 
ukinunulia dada 15 pro max unajilia msosi at any time with no cost untill apple watoe version ingine ambayo ni haijulikani.

Ngojea niende nikamuuzie mwanangu mmoja 7plus hapa, kuna Mtu nimekutana nae k.koo anatafuta Kioo cha iphone 4, nikasema kimoyo moyo huyu sio MUHA kweli? sikumzngatia lafudhi maana nlikua naharaka nafukuzana na yangu
 
Back
Top Bottom