Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Na sijawahi kuona tofauti yake...Sema simu zimekuwa na ujinga sana kwa sasa mweny iphone 13 anaona kama kapitwa na mda [emoji23][emoji23] hapo itauzwa angalau kupanda mpaka 14 then 15.
Kuanzia 11 hadi hiyo 14....Labda 15 maana sijaiona kwa macho...
Wakijipanga watumiaji wa matoleo yote hayo.. wakashika simu zao hujui ipi ni ipi...hadi uanze kuuliza..