Hii imeendaMwagona.
Ujio wa matoleo ya I phone kwa Tanzania hua ni msiba mkubwa hasa wazazi waume na makaka
Kwani hicho ndo hua visa vya dada zetu kuliwa tunda kimasihara kisa simu.
Tujiandae kusikia matukio ya hawa ndugu zetu ambayo chanzo ni tamaa.
Uzi tayari
Kama hata wewe umegundua kua Apple maneno mengi ila mabadiliko kiduchu,inakuaje tena unawaita kua wana akili sana?Alafu apple wana akili sana maneno meeengi,mabadiliko kiduchuuu, ila sasa. Acha wajanja tunasubiri pixel 8 baba wa software, nyie wa show off na status symbol pambaneni na iphone. Hazina jipya kwanzia 12 mpaka 15.
Una uhakika Akina silei kwini wanakuelewa kweli...!?Alafu apple wana akili sana, maneno meeemgi, mabadiliko kiduchuuu, ila sasa. Acha wajanja tunasubiri pixel 8 baba wa software, nyie wa show off na status symbol pambaneni na iphone. Hazina jipya kwanzia 12 mpaka 15.
πππππHii idea ya biashara kabisaNa figo ndio hiyo umebakia nayo moja baada ya kuiuza ili upate iPhone 14.
Tozi utafanyaje ili uvimbe mtaani na hela huna afu ukicheki umebaki na bandama tu ambazo hazina dili sokoni?
ni vijana sana sana, wanapenda kujioneshaBinafsi sionagi sababu ya mtu/watu kukimbizana na matoleo mapya ya simu kila yanapotoka..
Unakuta mtu ana 14, kuna Apps zipo kwenye hiyo simu hajawahi kuzitumi, na mbaya zaidi hajui kazi yake, then 15 ndiyo hiyo anakimbizana nayo tena..
Anyway...Mtaniambia nitafute hela...Ni sawa.