iPhone 15 imetambulishwa tujiandae na msiba

Sema simu zimekuwa na ujinga sana kwa sasa mweny iphone 13 anaona kama kapitwa na mda [emoji23][emoji23] hapo itauzwa angalau kupanda mpaka 14 then 15.
Na sijawahi kuona tofauti yake...
Kuanzia 11 hadi hiyo 14....Labda 15 maana sijaiona kwa macho...

Wakijipanga watumiaji wa matoleo yote hayo.. wakashika simu zao hujui ipi ni ipi...hadi uanze kuuliza..
 
Ena mwagona nawe.

, wakata uli?
 
Siku zote mtu asiyekua na hela akiona jinsi watu wenye hela wanavyotumia hela zao,huona kua ni matumizi mabaya ya hela au hawana akili.

πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…