Kingsmann JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 5,762 Reaction score 21,843 Oct 25, 2026 #1 Katika siku yake ya kwanza tu sokoni, ripoti kutoka kote duniani zimeonesha Iphone Duo ina changamoto nyingi kushinda za washindani wake, hasa katika Display na Hinge. Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.
Katika siku yake ya kwanza tu sokoni, ripoti kutoka kote duniani zimeonesha Iphone Duo ina changamoto nyingi kushinda za washindani wake, hasa katika Display na Hinge. Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 53,537 Reaction score 133,017 Oct 25, 2026 #2 Nimeona hizo video ila kilichonifurahisha ni comment section. iPhone user wanasema kikawaida first generation yeyote sio ya kukurupuka kuinunua kwasababu ipo kwenye majaribio.
Nimeona hizo video ila kilichonifurahisha ni comment section. iPhone user wanasema kikawaida first generation yeyote sio ya kukurupuka kuinunua kwasababu ipo kwenye majaribio.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Oct 25, 2026 #3 Bado nyumbu watanunua 😂 Anyway, n kweli sina pesa, ila hata kama nikiwa na pesa siwez kununua Foldable Phones yoyote ile.
Bado nyumbu watanunua 😂 Anyway, n kweli sina pesa, ila hata kama nikiwa na pesa siwez kununua Foldable Phones yoyote ile.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 25, 2026 #4 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw