Ni ujinga kwasababu kwenye gari hata bila hizo option linapiga kasi kama kawaida sasa simu bila chaja haiwezekani kuitumia. Ni sawa gari waliship likiwa na wese halafu pale penye mmfuniko wa kujazia wese wamepaziba, wanakwambia ukitaka unalipia option hiyo usipolipia ukaendesha wese likaishia utajua mwenyeweHio sasa wameifanya kama features za kwny magari,ukitaka full options utalipia zaidi kuliko asiyetaka mambo hayo.
Wajinga sana wachinaWachina nao kwa kuiga hawana mpinzani..wanaiga hadi ujinga.
Upo mrembo? Nakusalimia...Walianza Iphone naona sasa na wengine wanafuata
Nipo, salamu zimepokelewa, habari yako?Upo mrembo? Nakusalimia...
We jamaa [emoji1787][emoji1787]Huko mbeleni hata boxer/chupi zitaachwa kuuzwa ili kupunguza taka nguo duniani.
Ni mwendo wa kuvaa suruali bila kifuniko cha asali.
Salama kabisa, nashukuru kupokelewa kwa salamu...umeadimika!Nipo, salamu zimepokelewa, habari yako?
Xiomi imeingiza sokoni simu yao mpya ya Mi11 sokoni. Kama iphone 12 na wao hawatauza sambamba na charger kwa kigezo cha kutunza mazingira na kusaidia kupunguza taka plastiki duniani.
Sababu hii pia ndio walitumia apple inc kutuuzia simu bila charger na ikaleta mijadala mikubwa humu.
Xiaomi Mi 11 does not ship with charger and cable in the box but that’s alright; here’s why
Xiaomi will not ship the Mi 11 with a charging brick and cable in the original retail box. Xiaomi Mi 11, as expected, does not ship with a charger and cable intechfans.co.uk
Nimerejea kwa nguvu zote, sema tunapishana tu labdaSalama kabisa, nashukuru kupokelewa kwa salamu...umeadimika!
Kama ulikuwa hUna simu je?Charger utumie ile uliyokuwa unatumia zamani kabla hujanunua simu mpya
kama huna chaja ya hivyo inabidi ununue[emoji3525]Kama ulikuwa hUna simu je?
Tabia hii Kwani Apple Hawana? Unakumbuka Kuhusu msimamo wa Apple na simu kubwa?Kawaida ya watu Apple akifanya jambo atapondwa weeeee..... sasa subiri wengine wafuate... utawasikia wakiimba nyimbo za mazingira kama Apple 😀
Yani mtu unanunua simu ghali na bado inakubidi ununue tena charger 50k[emoji3525]Tabia hii Kwani Apple Hawana? Unakumbuka Kuhusu msimamo wa Apple na simu kubwa?
Na hili ni jambo la kupingwa na sio kuwa proud nalo, kwa jicho lolote ukiangalia loser ni mtumiaji.
Upo mamy za masiku??Charger utumie ile uliyokuwa unatumia zamani kabla hujanunua simu mpya
mimi napenda kutumia iphone, na nilikuwa napenda Steve Jobs anapoipeleka iPhone, alikuwa anatizama zaidi usability kuliko trends. Iphone ilikuwa ni simu ya kutumia kwa mkono mmoja tu, ila saivi utumie yote miwili. Ila huyu Tim mapishi nimeona ni mtu ambae anataka kufuata trends lakini at the same time anataka kujitofautisha. Alipochukua nafasi yeye, nilijua tu kuwa jamaa ataingia kwenye screen kubwa. Halafu alipoanza kuja na variants of iphones ndio nikashindwa kumuelewa. STeve jobs katuzoesha simu moja kila mwaka, sio tatu mpaka nne kila mwaka.Tabia hii Kwani Apple Hawana? Unakumbuka Kuhusu msimamo wa Apple na simu kubwa?
Na hili ni jambo la kupingwa na sio kuwa proud nalo, kwa jicho lolote ukiangalia loser ni mtumiaji.
Mfano ulikua na simu inatumia charger ya Micro USB cable na umenunua simu hiyo ina charging port na inatumia charger ya Type C unafikiri utafanya nini..?Charger utumie ile uliyokuwa unatumia zamani kabla hujanunua simu mpya
Nipo sana, zote njema sijui wewe? umepoteaaUpo mamy za masiku??
Charger imekuwa biashara mpya, inabidi ununue simu kisha ununue na charger tena kitu ambacho sio fair[emoji3525]Mfano ulikua na simu inatumia charger ya Micro USB cable na umenunua simu hiyo ina charging port na inatumia charger ya Type C unafikiri utafanya nini..?
Labda waje wamekuwekea haka ka adapter ka type C kenye port ya micro USB port kwenye box la simu hapo sawa utatumia charger zetu hizi za kila siku, lakini najua hawezi na ni kama ujinga tu wanafanya.. View attachment 1663346