Iphone effect: Xiaomi Mi11 itauzwa bila charger.

Iphone effect: Xiaomi Mi11 itauzwa bila charger.

Hio sasa wameifanya kama features za kwny magari,ukitaka full options utalipia zaidi kuliko asiyetaka mambo hayo.
Ni ujinga kwasababu kwenye gari hata bila hizo option linapiga kasi kama kawaida sasa simu bila chaja haiwezekani kuitumia. Ni sawa gari waliship likiwa na wese halafu pale penye mmfuniko wa kujazia wese wamepaziba, wanakwambia ukitaka unalipia option hiyo usipolipia ukaendesha wese likaishia utajua mwenyewe
 
Xiomi imeingiza sokoni simu yao mpya ya Mi11 sokoni. Kama iphone 12 na wao hawatauza sambamba na charger kwa kigezo cha kutunza mazingira na kusaidia kupunguza taka plastiki duniani.

Sababu hii pia ndio walitumia apple inc kutuuzia simu bila charger na ikaleta mijadala mikubwa humu.

Haaf alivyokuwa mjinga ali mmock Apple kwenye Mi 10 nae asa hiv anafanya bullshit ile ile like wtf
 
Kawaida ya watu Apple akifanya jambo atapondwa weeeee..... sasa subiri wengine wafuate... utawasikia wakiimba nyimbo za mazingira kama Apple 😀
 
Kawaida ya watu Apple akifanya jambo atapondwa weeeee..... sasa subiri wengine wafuate... utawasikia wakiimba nyimbo za mazingira kama Apple 😀
Tabia hii Kwani Apple Hawana? Unakumbuka Kuhusu msimamo wa Apple na simu kubwa?

Na hili ni jambo la kupingwa na sio kuwa proud nalo, kwa jicho lolote ukiangalia loser ni mtumiaji.
 
Tabia hii Kwani Apple Hawana? Unakumbuka Kuhusu msimamo wa Apple na simu kubwa?

Na hili ni jambo la kupingwa na sio kuwa proud nalo, kwa jicho lolote ukiangalia loser ni mtumiaji.
Yani mtu unanunua simu ghali na bado inakubidi ununue tena charger 50k[emoji3525]
 
Tabia hii Kwani Apple Hawana? Unakumbuka Kuhusu msimamo wa Apple na simu kubwa?

Na hili ni jambo la kupingwa na sio kuwa proud nalo, kwa jicho lolote ukiangalia loser ni mtumiaji.
mimi napenda kutumia iphone, na nilikuwa napenda Steve Jobs anapoipeleka iPhone, alikuwa anatizama zaidi usability kuliko trends. Iphone ilikuwa ni simu ya kutumia kwa mkono mmoja tu, ila saivi utumie yote miwili. Ila huyu Tim mapishi nimeona ni mtu ambae anataka kufuata trends lakini at the same time anataka kujitofautisha. Alipochukua nafasi yeye, nilijua tu kuwa jamaa ataingia kwenye screen kubwa. Halafu alipoanza kuja na variants of iphones ndio nikashindwa kumuelewa. STeve jobs katuzoesha simu moja kila mwaka, sio tatu mpaka nne kila mwaka.

Alivoleta design ya Notch, walipondwa sana tena, na mpaka Samsung akatoa ad kabisa. Mimi nilibaki nacheka tu, nikijua kwa 100% na wao watafuata tu. Si uongo, wakaja na za kwao, ila sasa mara zinaitwa tear drop instead of notch, mbaya zaidi practicality yake haieleweki. Kwa apple naweza kusema kuwa jamaa wametaka kulazimisha sensors za face id zikae mbele at the same time kupunguza bezels iliwalazimu wa sacrifice hio screen, sasa hawa akina Samsung/xiaomi na wengine wameweka nini wao zaidi ya camera?

Nafikiri i am safe nikisema kuwa Apple anawatia wenzake chaka na kudumaza creativity kwenye smartphones. Sasa ivi nothing is new or interesting kwenye smartphones, all come in same shape different sizes tu. Tunasifiwa benchmarks tu. kila keynote utasikia zinasifiwa internals tu. Zamani ukiflip motorola yako unajiona genius!

Wote watafuata hio trend ya kuuza simu bila charger kwa nyimbo ya kutunza mazingira, at the same time, hizo charge zinatengezwa na kuuzwa separately!
 
Charger utumie ile uliyokuwa unatumia zamani kabla hujanunua simu mpya
Mfano ulikua na simu inatumia charger ya Micro USB cable na umenunua simu hiyo ina charging port na inatumia charger ya Type C unafikiri utafanya nini..?

Labda waje wamekuwekea haka ka adapter ka type C kenye port ya micro USB port kwenye box la simu hapo sawa utatumia charger zetu hizi za kila siku, lakini najua hawezi na ni kama ujinga tu wanafanya..
Screenshot_20201230-233931.jpg
 
Mfano ulikua na simu inatumia charger ya Micro USB cable na umenunua simu hiyo ina charging port na inatumia charger ya Type C unafikiri utafanya nini..?

Labda waje wamekuwekea haka ka adapter ka type C kenye port ya micro USB port kwenye box la simu hapo sawa utatumia charger zetu hizi za kila siku, lakini najua hawezi na ni kama ujinga tu wanafanya.. View attachment 1663346
Charger imekuwa biashara mpya, inabidi ununue simu kisha ununue na charger tena kitu ambacho sio fair[emoji3525]
 
Back
Top Bottom