Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Anazungumzia Tecno s1,s2,s3..,za alfu thamanini πππππAndroid gani hiyo ya siku hizi unayoweza kufungua na kutoa battery??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anazungumzia Tecno s1,s2,s3..,za alfu thamanini πππππAndroid gani hiyo ya siku hizi unayoweza kufungua na kutoa battery??
Wengi unaona wanachangia kwenye huu uzi wanatumia Android za kimasikini yani zile za mwisho kabisa.Anazungumzia Tecno s1,s2,s3..,za alfu thamanini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu usikute hajawahi kumiliki simu zaidi ya Tecno Ila kwa vile tuko jf usishangae [emoji16][emoji23][emoji1787]
I have used Samsung, hauwezi, and Sony, But iPhone is on top list, iPhone haiitaji mtu mvivu anayependa kufanyiwa vitu, But it is the best phone you can have!
Hakuna iPhone I Siyo na headphone jack, haipo duniani!
Duh, labda sijui maana ya headphone jack!
Nimetumia iPhone kwa miaka saba tokea nikiwa na miaka 18, ila nilivyokuja kuhamia kwenye Samsung najihisi nipo huru tena huru kweli kweli... IPhone ni uchafu tu, ni masimu ya showoff tena ya wale wasiojua matumizi ya simu...
Wengi unaona wanachangia kwenye huu uzi wanatumia Android za kimasikini yani zile za mwisho kabisa.
Flagship za Android zina physical features nyingi zinazokaribiana.
Headphone jack, 120hz refresh rate, cloud services, 3 camera lenses. Hizi ni industry standard.
Na ukiona mtu analalamikia battery life ya iphone basi atakuwa amenunua zile refub za makumbusho.
Na wengi wanatumia simu kama kifaa cha michezo na sio productivity tool. Mtu anakwambia mara ageuze screen chini juu, sijui aweke password kila sehemu. Utoto tupu.
Natumia zote iphone na android, sijaona uajabu wa android so far. Ni basic OS kama zingine.
Refub maana yake ilishatumika halafu ikakarabatiwa then inarudi tena sokoni...Hizo refub iPhone za makumbusho zina tatizo gani..?sijakumanya hapo chief ?
Huo ukarabati wanafanya hukohuko au hapa kwa wajanjawajanja bongoRefub maana yake ilishatumika halafu ikakarabatiwa then inarudi tena sokoni...
Mfano unakuta simu ilituma ikafa betri au housing ilipata creck basi inafanyiwa repair afu ina rudishwa kwny factory settings inafungwa vizuri inawekwa dukani.
Hapa bongo simu za high end za miaka miwili nyuma zilizopo maduka ya kariakoo na makumbusho most of them ni refub mfano huwez pata galaxy s8 ,s9, i phone 8 ,7,6 mpya kwa sasa coz zina mda toka zitoke nying refub.
Mana likishatoka toleo jipya za zamani wanaacha kutoa
Ila mkuu hakuna ubaya wa kununua refub phone mradi tu wakuuzie kwa bei ya refub sio uuziwe refub kwa bei ya brand new..Hizo refub iPhone za makumbusho zina tatizo gani..?sijakumanya hapo chief ?
Dah hapo noma Sasa wanaojua Hilo Ni 2 Kati ya kumi..maana mtu anakurupuka Hana uzoefu mwisho wa siku anaanza kuugulia maumivu.Ila mkuu hakuna ubaya wa kununua refub phone mradi tu wakuuzie kwa bei ya refub sio uuziwe refub kwa bei ya brand new..
Il waizaj wanadanganya wanasema mpya
Nying huko huko kwa wenyewe ila hata hapa ukizubaa utauziwa hii simu yangu ninayotumia sa hvi ikiwa kwny boksi sealed...Huo ukarabati wanafanya hukohuko au hapa kwa wajanjawajanja bongo
Mimi ndo maana niliachana na iphone. Siwezi weka SD card .Na mimi ninahitaji memory kubwa haswa haswa. Samsung jibu la matatizo yote.
Zipo buana,labda samsung ya zamani sana,mie natumia ya 2019 ina radioKero ya samsung ni kutokuwa na redio.
π€π€ Point imezungumzia kwamba i phone haina tundu la ear phone. Hicho kifaa ukikisaha kwenu huwezi kutumia earphone,.,.Huku android unanunua earphonr zako unapachika bila vifaa vya ziada.Tundu la kuwekea earphone. Nyingi zina earphone yenye plug kama usb ya apple na baadhi ya iphone za kisasa hasa zenye usb type c zinatumia wireless earphone tuu, hawana earphone za kuchomeka.View attachment 1531764
ππ aiseee salute kwako mkuuu, sitii neno ila bado siamini ni per month πππ daaah!!
yeye anayo ambayo ina tundu la ear phone, i phone zenye matundu ya earphone zilishaacha kutengenezwa kitambo sana. Yawezekana mwenzetu anatumia i phone 5 ya mwaka 2014 [emoji16][emoji16][emoji16] wenzake wanaingia i phone 12 hivi karibuni.