smigo4u
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,407
- 2,837
ππππ sijaamini kama ni mwezi piaMwenazako kakuwekea matumizi ya data ya mwezi wewe umeleta ya tangu uliponunua simu 2015 ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππ sijaamini kama ni mwezi piaMwenazako kakuwekea matumizi ya data ya mwezi wewe umeleta ya tangu uliponunua simu 2015 ππ
1. i phones ni gharama, Hapa sitazungumza sana, nachoomba tu nenda duka linalouza i phones mpya (sio mitumba / refurbished) kaulize bei, Inabidi uwe vizuri kiuchumi, Hata hivyo bado kuna watu hapa bongo wanalazimisha kununua i phones za milioni 2 licha ya hali zao za ki uchumi kuto endana kabisa na bei za simu, kundi hili hununua simu hizi kwa lengo la kufeki maisha waonekane wana pesa kumbe wanajidanganya.
3. Hakuna tundu la kuingiza earphone, hapa hadi ununue vifaa vya ziada, huku android ukinunua ear phone unaitumia hapo hapo
3. Andaa laini moja tu, kuna matoleo machache sana yenye laini 2.
4. Kudownload nyimbo hata humu jamiifroums ama mtandaoni ni ishu nzito
5. Kuhamisha vitu kutoka kwenye simu kwenda kwenye pc ni shughuli pevu.
6. Apps kibao zipo android kuliko iphone
7. Non restricted access ipo kwa android kwa sababu unaweza ku root ukafanya vingi vya ziada, Kwa iphone hapa umebanwa hutaweza kabisa
8. Hutaweza kusikiliza radio bila bando, kama upo vijijini sehem isiyo na internet fanya utaratibu wa kununua radio.
9. Android utaweza kuback up vitu vyako kwenye memory card na pia unaweza kubadili battery kwa wepesi bila hata kwenda kwa fundi, lwa iphone hizi feautures sahau.
10. Kwenye i phone ku customize vitu kuna vikwazo, mfano ringtone utachagua tu wanazotaka wao iphone na inakuwa sekunde 30 tu, huku android ringtone uutaweka hata ya kingwendu ni wewe
11. kitaa cha notification hakipo kwenye iphone, mfani message ikiingia kama simu ipo silent huku android kataa kanawaka.
12. hutaweza kuseti default app, utaweza kudownload app mbadala ya kufungua mafaili lakini hutaweza kuiseti iwe ya moja kwa moja, kika ukifungua faili litafunguliwa na app ya mwanzoni
13. andoid kuna feauture ya multiple user account, simu inakuwa kama facebook, kila moja ana user name yake na password, naweza kumuazima mtu simu akaitumia bila kujua taarifa zangu na akiniruduishia basi na login kwenye user yangu.
14. Battery kwa iphone ni tatizo, wenzangu wenye i phones wanajiteteaga i phone sio simu ya kutumia tumia kila muda basi naishia kucheka tu napoona wanatembea na power benki simu zao zinapokata moto.
15. Kwenye android unaweza kutumia simu kama remote kwa vifaa kama samsung, lg ,n.k....huko kwa apple so rahisi labda kwa tv zao za apple tv
Kwa iphone wanachojali ni kupiga faida tu katika bidhaa wanazouza, wanachotaka wateja yeye hajalin ma hapa niseme ukweli kawakamua kweli kweli.Mtu unaanzaje kuhangaika na miwaya waya mgongoni kwenye shingo[emoji28]. Earphone jack ni kitu kimepitwa na wakati kuna wireless airpods. Acha washamba wabaki na wanazunguka na miwawaya kwenye masimu yao ya kishamba.
Sijamaanisha unachofikiria,,,,,,,,,,,Kwani kiongozi Simba fc ni sawa na ndanda fc. Juu itabaki kua juu tu na ndio maana ata bei hazilingani, kumbuka iPhone ni mtu wa kutoa HIGHEND DEVICES TU, HAKUNA UTOPOLO.
Kwa iphone wanachojali ni kupiga faida tu katika bidhaa wanazouza, wanachotaka wateja yeye hajalin ma hapa niseme ukweli kawakamua kweli kweli.
Ni strategy ya sokoni kwamba airpods zao zile wireless ili ziuzike wakaona inabidi watoe tundu la earphone, Airpods ni laki 2 huko na kweli kakamua kweli bila huruma.
Huku android wateja tunajaliwa hakuna udikteta, simu naipata ina tundu la earphone, mimi ndio nraamua kama nilotumie au nitumie earphone za wireeless, mteja nakuwa mfalme
Ni show off tu hakuna lolote.
Hasa Hawa walionazo huku ndo kabisa,wanazo tu ili wazionyeshe na wengi wanafata tu mkumbo.
Vitu vingi ni online na wakati huohuo charge nusu saa inakat!!! Hilo ni gereza, njoo Samsung ufurahie maisha.Natumia iPhone
Nyimbo nadownload vizuri tu
Radio ndo hivyo Online (Tunnel In)
Ieleweke kuwa huwezi kumiliki hii simu kama unakuwa na bando la kubahatisha. [emoji23]
Vitu vingi ni Online na lazima utumie bando[emoji41] nyie wenye bando za bure za Social network huu mziki wa kumiliki iPhone hamuwezi.
Endeleeni kumiliki hizo simu zenu za kutumia miezi mitatu zinaanza matatizo, mara Camera haipigi, mara inaleta mistari kwenye Kioo [emoji38] matatizo kibao.
Mtumiaji wa apple yupo kwenye gereza (jail) vitu vya kawaida kabisa ambavyo huku android unaweza kuvufanya ukinunua simu huko i phone haiwezekani kwasababu ni jela.View attachment 1531843ukishajua maana ya iyo app apo Cydia ndo uje upya na hoja zako za kishamba. Watu tunao jailbreak iphone zetu tuna options zaidi ya millioni ya kutumia simu zetu kufanya chochote kitu ambacho android haziwezi
Bado hujajua simu wewe.
Mkuu kuna airpods tayari zinazotengenezwa na apple kwajili ya simu zakeNdo umegundua kumbe kuwa na v8 lazima uwe hela ya mafuta leo[emoji23]. Siyo lazima ununue airpods za apple za laki mbili. Binafsi nna wireless aipods za bose nilinunua 30k tu na zina base balaa. Mambo ya kubeba eaphone za miwaya siku mbili upande moja hautoi sauti kisa waya imezingua unanunua zingine ni ushamba kwangu .View attachment 1531853View attachment 1531854
Mkuu hizi umenunua wapi???? Nahitaji na mimiNdo umegundua kumbe kuwa na v8 lazima uwe hela ya mafuta leo[emoji23]. Siyo lazima ununue airpods za apple za laki mbili. Binafsi nna wireless aipods za bose nilinunua 30k tu na zina base balaa. Mambo ya kubeba eaphone za miwaya siku mbili upande moja hautoi sauti kisa waya imezingua unanunua zingine ni ushamba kwangu .View attachment 1531853View attachment 1531854
Mtumiaji wa apple yupo kwenye gereza (jail) vitu vya kawaida kabisa ambavyo huku android unaweza kuvufanya ukinunua simu huko i phone haiwezekani kwasababu ni jela.
Sasa huko iphone vitu kama kuweka default app, kuweka app ambazo hazijasainiwa na apple, kubadili mwandiko na customizations nyingi inabidi ufanyr jail break, yani kuifanya simu iwe huru kama android ambayo ipo huru tangu ubapoinunua..
Kwa kifupi huku android hatuna jela, unatumia simu unavyotaka.
Na kuhusu rooting ya android inakufanya uchukue control ya sytem nzima unaweza kubadili kabisa hata operating system ukatia yako, Apple jailbreak yake inakutoa tu nje ya jela simu iweze kuwa huru kama android ila sio kufika hadi kwenye mzizi wa system.
Karibu dunia ya uhuru, naona saizi unatamba unaweza hata ku customize [emoji16][emoji16][emoji16] Huku android hata mtoto ana customize bila kuweka ma cydia hayo
Apple wana airppds zao tayari huna haja ya kuhngaika kwengine, Zinauzwa laki 2 tuMkuu hizi umenunua wapi???? Nahitaji na mimi
Rikiboy unatak kuzitumia kimasihara eeehMkuu hizi umenunua wapi???? Nahitaji na mimi
Mkuu hizi umenunua wapi???? Nahitaji na mimi
hakika
Mkuu kuna airpods tayari zinazotengenezwa na apple kwajili ya simu zake
ni laki 2 tu
Tumeoma unamiliki dstv mkuu [emoji16][emoji16]
Agiza airpods ni laki 2 tu, nilishaonya pointu ya kwanza hizi simu inabidi uwe vizuri kiuchumu, Au ndo unafosi mkuu [emoji16][emoji16]
Mimi hata iwe na gb 5000 zitajaa tu.Zipo iphone zina gb500
iphone ni za wambea wambea si unaona unavyotuma vi mdoli sehemu ambayo haihitajiki.Natumia iPhone
Nyimbo nadownload vizuri tu
Radio ndo hivyo Online (Tunnel In)
Ieleweke kuwa huwezi kumiliki hii simu kama unakuwa na bando la kubahatisha. [emoji23]
Vitu vingi ni Online na lazima utumie bando[emoji41] nyie wenye bando za bure za Social network huu mziki wa kumiliki iPhone hamuwezi.
Endeleeni kumiliki hizo simu zenu za kutumia miezi mitatu zinaanza matatizo, mara Camera haipigi, mara inaleta mistari kwenye Kioo [emoji38] matatizo kibao.
Rikiboy unatak kuzitumia kimasihara eeeh