iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

Watumiaji wengi wa iPhone hasa wadada wanaitumia kwa picha na kujiweka kwenye this social class.

Ila picha za iPhone hasa ukitumia snapchat camera ni [emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my SM-A605F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kuna airpods tayari zinazotengenezwa na apple kwajili ya simu zake

ni laki 2 tu

Tumeoma unamiliki dstv mkuu [emoji16][emoji16]

Agiza airpods ni laki 2 tu, nilishaonya pointu ya kwanza hizi simu inabidi uwe vizuri kiuchumu, Au ndo unafosi mkuu [emoji16][emoji16]

We jamaa una umasikini sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ziko bomba sana mimi ninazo mwaka sasa zina mziki mnene hatari. Alafu ni za uhakika siyo kama miwaya miwaya ile wenye android wanatutushia kisa hatuna matundu ya earphone. Hizi hazina waya kukatika mara sikio moja halitoi sauti.
Ni kweli ila mie nami Android sihami na matoleo ya kisasa ya Android 3.5 mm headphone jack haipo kabisa
 
Ni kweli ila mie nami Android sihami na matoleo ya kisasa ya Android 3.5 mm headphone jack haipo kabisa

Mimi ningependa kila simu ziwe na OS yao kama iphone. Sasa android kila takataka inatumia iyo iyo iwe samsung tecno itel huawei hata simu za copy android ni ileile tu tofauti jumba na jina. Yaani unachokipata wewe mwenye samsung note 10 na anachokipata mwenye tecno c12 ni kilekile tu uchafu mtupu. Yaani tofauti ya tecno na samsung ni jumba tu ila wanachokiona ndani ni kilekile tu apo ndo wanaponiboa samsung kwanini wasije na OS yao wajitofautishe na hayo matakataka ya copy.
 
Kwani eyephone ukiacha Camera ambayo ni kifaa cha kina dada zaidi KUNA NINI CHA MAANA!??
 
yeye anayo ambayo ina tundu la ear phone, i phone zenye matundu ya earphone zilishaacha kutengenezwa kitambo sana. Yawezekana mwenzetu anatumia i phone 5 ya mwaka 2014 [emoji16][emoji16][emoji16] wenzake wanaingia i phone 12 hivi karibuni.
Hakuna iPhone ambayo haina tundu la Earphone hata iPhone 11 inayo Sema tu ni kwamba wamebadilisha kuanzia iPhone 6 kushuka chini zinatumia earphone pin ya kawaida ya 2.8mm
Ila kuanzia IPhone 7 na kuendelea wameona wapunguze idadi ya matundu kwenye simu.
Kwa hiyo tundu la charge ndio hilo hilo la earphone ...na ukinunua kwenye box unakuta earphone humo zinazofit tundu husika.
Kwa hyo suala la kusema IPhone hazina tundu la earphone ni uongo.
 
Nikaribie wapi? Mimi namiliki samsung na apple hakuna kitu kinaboa kama iyo mitangazo ya pop ups kwenye android yaani matakataka kibao. Alafu kazi ya ku reset android kila mara inapoanza kuwa slow ni upuuzi unaonichosha. Yaani android ni kama shamba la bibi matakataka kibao. Iphone huwezi kuona imekuwa slow kisa virus. Kitu ukigusa kinafunguka apo apo siyo kama android mara lime stuck kila kitu kimekwama. Na hapa natumia simu ina ram gb6 sema ma android inashambuliwa na matalataka mengi sana kwa vile ni open source.
Tatizo wewe ni mshamba wa android, kuna app kama adguard zinatoa matangazo, hayo matangazo siyaonagi sana ila wenzangu wanaocheki x yanawasumbua kama hawana adblock 😁😁
 
Hakuna iPhone ambayo haina tundu la Earphone hata iPhone 11 inayo Sema tu ni kwamba wamebadilisha kuanzia iPhone 6 kushuka chini zinatumia earphone pin ya kawaida ya 2.8mm
Ila kuanzia IPhone 7 na kuendelea wameona wapunguze idadi ya matundu kwenye simu.
Kwa hiyo tundu la charge ndio hilo hilo la earphone ...na ukinunua kwenye box unakuta earphone humo zinazofit tundu husika.
Kwa hyo suala la kusema IPhone hazina tundu la earphone ni uongo.

Acha kamba wewe
 
Tatizo wewe ni mshamba wa android, kuna app kama adguard zinatoa matangazo, hayo matangazo siyaonagi sana ila wenzangu wanaocheki x yanawasumbua kama hawana adblock [emoji16][emoji16]

Sasa iyo adblock yenyewe sasa ndo inakuletea mi add kibao hadi usumbufu yaani tatizo android makanjanja kibao
 
Hakuna iPhone ambayo haina tundu la Earphone hata iPhone 11 inayo Sema tu ni kwamba wamebadilisha kuanzia iPhone 6 kushuka chini zinatumia earphone pin ya kawaida ya 2.8mm
Ila kuanzia IPhone 7 na kuendelea wameona wapunguze idadi ya matundu kwenye simu.
Kwa hiyo tundu la charge ndio hilo hilo la earphone ...na ukinunua kwenye box unakuta earphone humo zinazofit tundu husika.
Kwa hyo suala la kusema IPhone hazina tundu la earphone ni uongo.
Android naweza kuchaji simu na kutumia earphone kwa mpigo bila madubu wassha ya ziada, adapter zilishapitwa na wakati.

huku i phone huwezi kutumia earphone bila adapter maana kuna tundu moja tu

mfano hii adapter ya earphone kwa iphone huwezi kutumia ear phone na kuchaji simu kwa wakati moja.

1596965274688.png

kuepukana na kero hii pamoja na kuhiyaji vifaa vya ziada karibu android
 
View attachment 1531927

kuepukana na kero hii pamoja na kuhiyaji vifaa vya ziada karibu android

IMG_3874.JPG
IMG_3876.JPG
wewe bado sana upo kwenye miwaya waya mimi almost kila kitu nafanya wirelessy kuanzia kuchaji hadi kusikiliza mziki
 
Sasa iyo adblock yenyewe sasa ndo inakuletea mi add kibao hadi usumbufu yaani tatizo android makanjanja kibao
Mkuu umekunywa chai ??? hata airpods za laki 4 tu zimekushindwa umekimbilia amabazo sio za apple za elf 30 kariakoo.

kuwa mzalendo wa kampuni ya simu yako nunua airpods zao, kaki 4 tu na ushehe,

1596965635197.png

Nimegundua wewe iphone unalazimisha tu una pesa ya mawazo, zifuatazo ni nyuzi zako

Wanawake wenye dharau nikipata pesa ntawanyanyasa sana

Kuna mdada kila siku tano ananiomba hela ya mchezo

Kwa nini madem mnapenda kukomoa mkitolewa kwenye bata?

Demu ana iphone X ananiomba buku ya luku

Kwani kubambiwa si free mbona mnakua wakali kina dada?

Wanawake wangekua hawakatai kungekua na ugomvi mwingi sana mtaani

nunua gari mkuu, uza i phone nunua hata starlet

Wadada hivi mnaenjoy kubambiwa kwenye mwendokasi au?
 
Sie watumiaji wa Iphone tunafurahia sana utofauti wa simu zetu na Android
 
Sasa si bora nibaki huku kwenye tekino wereva au Samsung.
 
Ndo umegundua kumbe kuwa na v8 lazima uwe hela ya mafuta leo[emoji23]. Siyo lazima ununue airpods za apple za laki mbili. Binafsi nna wireless aipods za bose nilinunua 30k tu na zina base balaa. Mambo ya kubeba eaphone za miwaya siku mbili upande moja hautoi sauti kisa waya imezingua unanunua zingine ni ushamba kwangu .View attachment 1531853View attachment 1531854
Hizo earphone ulinunua wapi mkuu na mimi nahitaji
 
Back
Top Bottom