iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

Pia kuna wireless earphones za samsung nazo bei ghali kupanga ni kuchagua siyo lazima ukinunua iphone ununue na hizo airpods unawez
Zipo kkoo mkuu aggrey kuna duka moja tu wanazo
nitaweatembelea asante
 
Ulianza kwa kusema hazina tundu la earphone ukajibiwa kuwa lipo... Sasa umehama kwamba hauwezi kutumia bila adapter,,Mara huwezi kutumia huku una charge,

Kwa ujumla ni kwamba hauna uelewa kuhusu iphone
ukinunua iPhone yoyote kuanzia 7 na kuendelea unakuta earphone za moja kwa moja bila Adapter...
Na pia unakuta wamekuwekea adapter pia ili kama una earphone zako za zamani pia usishindwe kuzitumia...ila earphone za moja kwa moja kutoka kwenye simu mpaka masikioni bila adapter utazikuta ndani ya box lako la iphone mpya

Kuhusu kutumia simu ukiwa unachaji huku una earphone masikioni nenda ka google mwenyewe uone madhara ya simu ikiwa inachajiwa huku unatumia uwezekano wa kupata saratani in Mara 10 zaidi ya kutumia kwa kawaida na kama una akili nzuri huwezi kufanya huo ujinga

Kijana hauna kazi mpaka utumie simu huku unachaji? Tena muda huo huo una earphone masikioni?
 
pointi ilikuwa ni je wana tundu la earphones zilizozoeleka za pini???

wengine tunatumiaga tu earphones ambazo ni top dunia nzima, unanunua unachomeka fasta.

kwenye list hii earphones ni za pini, nikinunua napachika fasta kwenye simu, hakuna haja ya vifaa vya ziada

 
Hizo refub iPhone za makumbusho zina tatizo gani..?sijakumanya hapo chief ?
Manake simu imetengenezwa ikawa na shida kidogo ikarudishwa kiwandani.

Au simu imetumika ikarudishwa dukani. Ndo mnakuja uziwa hizo simu.

Nyingine hata battery life zinakuwa zimeisha nguvu.
 
[emoji848][emoji848] Point imezungumzia kwamba i phone haina tundu la ear phone. Hicho kifaa ukikisaha kwenu huwezi kutumia earphone,.,.Huku android unanunua earphonr zako unapachika bila vifaa vya ziada.
Dunia ya leo unaning'iniza mawaya masikioni?

Kuna bluetooth earbuds.
 
Kumbe jailbreak ni kubadili mwandiko? Only std 7 kids will do this.
 
Android wenyewe wanatoa earphones jack sikuhizi, angalia high end za huawei na Samsung za mwaka huu zina hole ya type c tuu
 
Unaendelea kukubali tu taratibu
Sasa unasema earphone zilizozoeleka Mara iwe inachomekwa faster

Sasa earphone za pini za kazi gani na wakati ukinunua simu mpya unakuta earphone zake Original ndani?
pointi ilikuwa ni je wana tundu la earphones zilizozoeleka za pini???

wengine tunatumiaga tu earphones ambazo ni top dunia nzima, unanunua unachomeka fasta.

View attachment 1531997
 
Tatizo wewe ni mshamba wa android, kuna app kama adguard zinatoa matangazo, hayo matangazo siyaonagi sana ila wenzangu wanaocheki x yanawasumbua kama hawana adblock [emoji16][emoji16]
Kutoa matangazo kumbe hadi app??

Nilijua ni operating system inaondoa matangazo naturally?

Mmeliwa.
 
Iphone ijayo itakosa hata tundu la kuchaji.

Itakuwa na wireless charging.
 
Android wenyewe wanatoa earphones jack sikuhizi, angalia high end za huawei na Samsung za mwaka huu zina hole ya type c tuu
Hao wameshazoea low end android phones.
 
Zipo kkoo mkuu aggrey kuna duka moja tu wanazo
Idea yako kwenye mchango wako hapo juu ni nzuri kila kampuni ambayo ni kubwa ingekua na os yake ingekua nzuri sana binafsi mie nakikumbuka kipindi, cha blackbery naos yake window , Android na ios ilikua poa sana by the way siku nikiwa na hela nitanunua tu iPhone kwa sasa nachokikwepa ni kununua v refurb hivi kiongozi, bajeti yangu now ni usd 250 kushuka chini ndio nachokiweza.
 
una android ya mwaka gani kwanza inayopungua speed kizembe namna hiyo!!!!

halafu popups unatumia apps za bure eh.
 
[emoji38] [emoji38] sasa kwa apple istore unaondoa na iphone 5s tena gb 16 hapo,hiyo ndio utaambulia kwa bei hiyo, ilitoka kwa tim cook.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…