iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

acha uongo ni chache swali samsung s20 haina earphon jack acha kupotosha samsang walifanya majalibio hio kitu wakaona wanakosa soko wakaachana nayo hayo mambo mfyuuuuuuu

#USITUDANGANYE DANGANYA WASIO JUA

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38] [emoji38] nao wakajua watu tunashoboka na ujinga wa apple.

mtu unatoa earphone jack, ukiulizwa sababu unasema naongeza nafasi ya betry *****. kwani nani kakukkataza kuongeza umbo la simu upate nafasi ya betry unalotaka???
 
Yeah ni kweli enzi zile za blackberry, sony ericson, windows mobile, ukinunua simu kila moja inakua na vitu vyake unique kuanza muonekano wa nje hadi mpangilio wa ndani ya system. Hadi apple wanakuja mambo yalikua mazuri hadi samsung walipoamua kuiga iphone wakaanza kupromote ma android ndo kila mnyonge anayekuja kushindana na iphone akawa anatumia android. Hii imewadumaza sana hawa samsung sasa hv kila simu ya ndroid ziko sawa tu kwa mpangilio wa ndani ya system tofauti ni ma housing tu.
 
umoja ni nguvu

makampuni yanavyotumia android hapo nguvu zinaungana na wateja tunafaidika sana.

moja akianza kutulimit sehemu flani wateja tunahamia kwengine.

Huko iphone hakunaga hii, apple akiamua hakuna kitu flani ndio imetoka hio.
 
kiasi imetusaidia sana sisi team google.

uwanja unakuwa mpana wa matumizi. hata aple huko mbeleni anaweza aut source os yake kwa makampuni mengine ili kubairi radha kidogo na kuongeza ushindani.
 
Ndiyo imetoka hio kivipi? We unafikiri mtu ana iphone 11 hana simu nyingine? Watu wengi wa iphone wana miliki simu nyingine za android kwa mambo ya kipuuzi na iphone kwa status na business meetings. Tatizo watu wa android unakuta kajibana sana kanunua ki tecno chake cha laki na nusu ndo kupata simu nyingine ni mtihani.
 
kiasi imetusaidia sana sisi team google.

uwanja unakuwa mpana wa matumizi. hata aple huko mbeleni anaweza aut source os yake kwa makampuni mengine ili kubairi radha kidogo na kuongeza ushindani.

We hujui lolote kwanza OS ya apple ndo OS kongwe kuliko zote kwenye smartphone za sasa. Apple ilikua inaongoza kwa kuwa na ecosystem kubwa ya apps kuliko os zote hadi android ilipovamiwa na kila mtengeneza simu za copy. Na kwakuwa android ni open source kila boya mwenye app anaitupia playstore ila siyo rahisi kwa appstore. Ndo maana plastore ina ecosystem kubwa ya apps kwa sasa. Imejaa apps za ovyo ovyo tuu na ma virus ya kutosha .
 
iPhone Forever, nina Museum ya iPhone na sitarajii kuondoka.
 
umoja ni nguvu

makampuni yanavyotumia android hapo nguvu zinaungana na wateja tunafaidika sana.

moja akianza kutulimit sehemu flani wateja tunahamia kwengine.

Huko iphone hakunaga hii, apple akiamua hakuna kitu flani ndio imetoka hio.
Sahihi, pia wanakuwa na viwango vinavyoingiliana.
 
Uwe unasoma nakuelewa basi, Nilisema huku android kampuni nyingi za simu kuanzia flagship hadi za chini zinatumia os ya android kutengeneza simu zao na hii inaleta ushindani kwamba moja akiringa kutunyima kitu flani basi wateja tunahama, mfano samsung akibana tundu la earphone tunaweza kwenda kwa sony, nokia, huawei, motorola, n.k. Huko ios ni apple tu anaetengeneza simu, Mkibanwa kitu flani inabidi mufyate tu mkia hakuna namna, mfano laini 2 apple kaanza kuweka majuzi tu hapo, kabla ya hapo ailimlazimu mmiliki wa i phone kuwa na simu ya ziada.

Mkuu unavyosema ki Tecno utadhani una hela wakati ulianzisha threads humu kulalamika umeombwa buku ya luku na nyingine eti ukipata hela utawakomoa mabinti 😁😁.

Tafuta pesa mkuu hizo simu za i Phone zimekaa kwa status zaidi kuliko feautures, Ni kama pamba za Gucci kule hata pochi milioni 10 zipo na watu wananunua kwasababu Gucci imekaa kwa status ya kitajiri flani ivi.

Nachokushauri nunua hicho ki Tecno ulichosema uza iPhone maana tabia ya kutuanzishia nyuzi humu za kulalamika kuombwa buku ni vibaya.
 
[emoji3][emoji3] bwege wewe sasa nyuzi zangu za buku zinakuhusu nini? Mimi wakishua sema nakutana na vibwengo balaa hadi naanzisha uzi. Yaani unanijua jina wakati mimi hata sijui nachati na nani[emoji23]
 
wadau simu ni Google pixel .. ninachofanya nahamisha daraja tu November navuta pixel 4
 
[emoji3][emoji3] bwege wewe sasa nyuzi zangu za buku zinakuhusu nini? Mimi wakishua sema nakutana na vibwengo balaa hadi naanzisha uzi. Yaani unanijua jina wakati mimi hata sijui nachati na nani[emoji23]
Ulikuja kwa kasi sasa hapa utatulia, Hapa ntakupakata kabisa na ukiendelea kutikisika utaukalia 😁😁.

Wewe ni mfano dhahiri kabisa wa watu wanaolazimisha kuwa na iPhone ili waonekane wana pesa, Mkuu acha kuishi maisha ya maigizo ishi real life.

Mwenyewe hapa wife alitaka nimnunulie iPhone flani milioni 3 nikamwambia achague iPhone au watoto wahame shule private ya english medium, tuache kulipia school bus, n.k waende kusoma shule za serikali kwa mwaka moja 😁😁.

Wengine walalahoi tulishajijua hivi si vitu vyetu maana tukilazimisha basi hata watoto watahangaika
 
Oyaa hii post futa kama vipi, unamdhalilisha wife wako apa. Kama mlalahoi usilete uzi ukijua kuna mabloo hapa tuna iphone 11 tunalipia watoto wetu izo private school na wife zetu wanazo izo iphone za million 3. Bro?
 
blo Tafuta pesa wewe, Achana na iphones sio level yako

takataka zako ulizoleta humu hizi hapa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…