stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Lenovo vipi?tecno uongo tumia ata samsung wewe na kuna na ndugu zake tecno wana fanya poa kuliko tecno.. huawei,oppo na infinix
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lenovo vipi?tecno uongo tumia ata samsung wewe na kuna na ndugu zake tecno wana fanya poa kuliko tecno.. huawei,oppo na infinix
Iooo namba 13 nielekeze mkuuu
simu gani unatumia? model ipi?Nnielekeze asaa Apo naongezaje user (nfanyeje kuongeza user apoo)
kwahiyo unanifokea nakapenda kaiphone kangu hivhiv😂😂😂kina matundu matatuUsilazimishe kukaa na simu kwa miaka mitano, hizi ni simu zinazovutia ukiwa angalau na i phone toleo la miaka angalau miwili iliyopita.
I phone wameacha kuweka matundu ya head phones tangu mwaka 2015.
Kama una tundu la earphone basi simu yako ni ya zamani sana itakuwa hata ya mwaka 2014, hio itakuwa mjanja kakuuzia alipata mnyonge wa kumuuzia kwa bei chee yeye kajiongeza kununua matoleo mapya
Wenzako wanaingia toleo la 12 saizi, Tafuta milioni 2 uchukue hata iphone 11 maana huku kwenye i phone hakunaga mbadala.😁😁😁
Radio kwenye smartphone mambo ya kale.1. Hutaweza kusikiliza radio bila bando
Zungumzia akina Tecno. walishikilia mpini wa Android ndipo wanapoelekea uko. Wireless earphones. Na hili nalo unalalamika mambo ya kale 😀3. Hakuna tundu la kuingiza earphone, hapa hadi ununue vifaa vya ziada, huku android ukinunua ear phonr unaitumia hapo hapo
Mchina ndio kawazoesha kutumia laini 600 kwa simu moja. Hii sio feature ya android. Ilikuwepo kabla ya android kwenye miche ya sabuni za wachina ilokosa majina enzi izo.3. Andaa laini moja tu, kuna matoleo machache sana yenye laini 2.
Hujui tu kudownload nyimbo kwa kutumia iphone. wenye kuijua iphone hilo ni jambo jepesi kwa kweli.4. Kudownload nyimbo hata humu jamiifroums ama mtandaoni ni ishu nzito
Vitu gani ivo? Kikubwa unahamisha picha na video. Na vyote rahisi sana, copy paste tu. Muhimu uwe na itunes software kwa ajili ya kudetect iphone.5. Kuhamisha vitu kutoka kwenye simu kwenda kwenye pc ni shughuli pevu
Ipo kwa iphone, inaitwa Jailbreak.7. Non restricted access ipo kwa android kwa sababu unaweza ku root ukafanya vingi vya ziada, Kwa iphone hapa ni mtihani inabidi uwe mvumilivu.
Ushamba tu. Remote ya TV nnayo tena nitumie simu niimalize chaji ya nini? Sio sifa ya kumshawishi mtu kutumia apple wala android kabisa!8. Kwenye android unaweza kutumia simu kama remote kwa vifaa kama samsung, lg ,n.k....huko kwa apple so rahisi labda kwa tv zao za apple tv
Mambo ya zamani haya kuweka ringtone miziki sijui mtoto anacheka. Lakini hata ivo, ukijailbreak tu, unaweza kufanya ivo.10. Kwenye i phone ku customize vitu kuna vikwazo, mfano ringtone utachagua tu wanazotaka wao iphone na inakuwa sekunde 30 tu, huku android ringtone uutaweka hata ya kingwendu ni wewe
Hii nalo ni muhimu la kusifiwa? ukiamka asubuhi bila kutizama kama kuna kitaa kwenye android yako unakamata simu kutizama kuna nini. Huhitaji taa ya notification, automatic tu wewe mwenyewe tayari technology imeshakufanya uwe unacheki simu yako mara kwa mara.11. kitaa cha notification hakipo kwenye iphone, mfani message ikiingia kama simu ipo silent huku android kataa kanawaka.
hapa bado sijashawishika, As long as other options are available.12. hutaweza kuseti default app, utaweza kudownload app mbadala ya kufungua mafaili lakini hutaweza kuiseti iwe ya moja kwa moja, kika ukifungua faili litafunguliwa na app ya mwanzoni
Hii hakuna kweli katika iphone. Your phone is your personal device. Unaficha nini kwa mtoto mdogo asieelewa kitu zaidi ya kutizama katuni 😀13. huku andoid kuna feauture ya multiple user account, naweza nikatengeneza user yangu na usr ya mtoto, mtoto akiomba simu naweka user yake hataona chochote cha kwenye acxount yangu zaidi ya ishu zake kama games na cartoon, huko i phone inabidi mtoto asimamiwe anapotumia sim asije kwenda kwenye vitu vyako vya kiutu uzima
Hapa labda uzungumzia multi tasking ya ku run apps simultaneous, sio ivo ulivosema. Mana unaweza kuandika post ukaruka kuchange music na ukirudi basi unaendelea pale pale.14. Huwezi kufanya vitu vingi kwa mpigo (multi tasking )kwenye iphone, Huku android unaweza ukawa unaandika post huku jamii forums ukarudi kwenye kubadili muziki na ukarudi jamiiforums bila kuanza upya
Povu la omo hili 😁😁Radio kwenye smartphone mambo ya kale.
Zungumzia akina Tecno. walishikilia mpini wa Android ndipo wanapoelekea uko. Wireless earphones. Na hili nalo unalalamika mambo ya kale 😀
Mchina ndio kawazoesha kutumia laini 600 kwa simu moja. Hii sio feature ya android. Ilikuwepo kabla ya android kwenye miche ya sabuni za wachina ilokosa majina enzi izo.
Hujui tu kudownload nyimbo kwa kutumia iphone. wenye kuijua iphone hilo ni jambo jepesi kwa kweli.
Vitu gani ivo? Kikubwa unahamisha picha na video. Na vyote rahisi sana, copy paste tu. Muhimu uwe na itunes software kwa ajili ya kudetect iphone.
Ipo kwa iphone, inaitwa Jailbreak.
Ushamba tu. Remote ya TV nnayo tena nitumie simu niimalize chaji ya nini? Sio sifa ya kumshawishi mtu kutumia apple wala android kabisa!
Mambo ya zamani haya kuweka ringtone miziki sijui mtoto anacheka. Lakini hata ivo, ukijailbreak tu, unaweza kufanya ivo.
Hii nalo ni muhimu la kusifiwa? ukiamka asubuhi bila kutizama kama kuna kitaa kwenye android yako unakamata simu kutizama kuna nini. Huhitaji taa ya notification, automatic tu wewe mwenyewe tayari technology imeshakufanya uwe unacheki simu yako mara kwa mara.
hapa bado sijashawishika, As long as other options are available.
Hii hakuna kweli katika iphone. Your phone is your personal device. Unaficha nini kwa mtoto mdogo asieelewa kitu zaidi ya kutizama katuni 😀
Na kwa android, wala huhitaji kuwa na 2 users kuficha mambo yako. nafikiri kuna apps unaweka password tu kwa kila app. iphone lengo lake iwe yako tu, sio kushare share.
Hapa labda uzungumzia multi tasking ya ku run apps simultaneous, sio ivo ulivosema. Mana unaweza kuandika post ukaruka kuchange music na ukirudi basi unaendelea pale pale.
In short mambo yote uliyoyataja hapo hayana umuhimu
kumbe kusoma hujamaliza halafu unakimbilia kusema mtu katoa omo 😀Povu la omo hili 😁😁
Umekuja kutetea iphone wakati hata huna, Au ili tu uonekane una uchungu nayo watu wajue unayo😁😁
Wenye i phone wamekaa kimya.
Nimesoma hata sijamaliza, hivi nani kakwambia i phone imevunjwa (jail break), Nunua i phone kwanza ndio uwe unakuja kuleta valid data humu.
Till next time, bye
Misaada hiyo namba 131. Hutaweza kusikiliza radio bila bando
3. Hakuna tundu la kuingiza earphone, hapa hadi ununue vifaa vya ziada, huku android ukinunua ear phonr unaitumia hapo hapo
3. Andaa laini moja tu, kuna matoleo machache sana yenye laini 2.
4. Kudownload nyimbo hata humu jamiifroums ama mtandaoni ni ishu nzito
5. Kuhamisha vitu kutoka kwenye simu kwenda kwenye pc ni shughuli pevu.
6. Apps kibao zipo android kuliko iphone
7. Non restricted access ipo kwa android kwa sababu unaweza ku root ukafanya vingi vya ziada, Kwa iphone hapa umebanwa hutaweza kabisa
8. Kwenye android unaweza kutumia simu kama remote kwa vifaa kama samsung, lg ,n.k....huko kwa apple so rahisi labda kwa tv zao za apple tv
9. Android utaweza kuback up vitu vyako kwenye memory card na pia unaweza kubadili battery kwa wepesi bila hata kwenda kwa fundi, lwa iphone hizi feautures sahau.
10. Kwenye i phone ku customize vitu kuna vikwazo, mfano ringtone utachagua tu wanazotaka wao iphone na inakuwa sekunde 30 tu, huku android ringtone uutaweka hata ya kingwendu ni wewe
11. kitaa cha notification hakipo kwenye iphone, mfani message ikiingia kama simu ipo silent huku android kataa kanawaka.
12. hutaweza kuseti default app, utaweza kudownload app mbadala ya kufungua mafaili lakini hutaweza kuiseti iwe ya moja kwa moja, kika ukifungua faili litafunguliwa na app ya mwanzoni
13. huku andoid kuna feauture ya multiple user account, naweza nikatengeneza user yangu na usr ya mtoto, mtoto akiomba simu naweka user yake hataona chochote cha kwenye acxount yangu zaidi ya ishu zake kama games na cartoon, huko i phone inabidi mtoto asimamiwe anapotumia sim asije kwenda kwenye vitu vyako vya kiutu uzima
14. Huwezi kufanya vitu vingi kwa mpigo (multi tasking )kwenye iphone, Huku android unaweza ukawa unaandika post huku jamii forums ukarudi kwenye kubadili muziki na ukarudi jamiiforums bila kuanza upya
HahahahahaI phone ni tecno iliyochangamka[emoji125][emoji125][emoji125]
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Safi Sana, kifupi chake ni mazumbukukuNi msemo wa mazwazwa na mataahira. Eti usitufokee, piga spana. Naiona sana twitter. Ni mataahira tu hao.
mkuu lugha hio 🙄🙄Siwezi kununua simu ya kisenge kama iphone najua haiwezi kukidhi mahitaji yangu