NB: Ukichangia Toa Sababu Strong usiende na Upepeo lengo ni kujua kwanini tunatumia Simu zetu na kipi cha kujifunza ambacho hukijui
Android ni Program endeshi(OS) inayotumika kwenye Brand nyingi za simu kama Samsung, Xiami, Infinix, Tecno, Redmi n.k
Hii OS ya android inawapa watumiaji customisation, flexibility, and affordability.
Watumiaji wengi wa iPhone hununua ili waonekane kuwa wameweza nunua, wanaweza Afford na kwaajili ya Show Off. lakini Pia iOS inasifika kwa Security Features na Muonekano mzuri.
Lakini watumiaji wake wengi hawajui kwanini wanatumia zaidi ya show off
Nikiwa Mchangiaji wa Kwanza na Nikianza kuchangia Kuhusu Andoid
-Customisation
Android inakubali kupokea Launcher nyingi kama Galax(samsung), HiOS(Infinix,Tecno), XSL(Xiami) na hizi Launcher zinampa mtumiaji uhuru wa kubadili muonekano na mpangilio wa Screen yake vile anavyotaka
-Security
Andoid 14+ zina New Security Features ambazo zina ngumu zaidi kuliko iPhone, Kama Kuzuia app kukusanya Data zako Binafsi na za Kifaa chako, Kuficha vitu vyenye usiri ili mtu asiweze kuvifikia, Mwizi akiiba simu yako kwa hii New Feature hatoweza kuizima SImu yako hata kwa kuilazimisha vipi na Hatowekza KuiFlash na hata wala Kubadili IMEI number na ikatokea akailazimisha basi hatoweza itumia bila kupata security Code yako
-Mambo mengi
Kama inavyojulikana kuwa simu yenye Camera Nzuri duniani ni Android ambayo ni Samsung S24 Ultra, ya pili ni S23 Ultra, na ya tatu ni iPhone 15 Pro Max. mambo mengi mengi kama Files Management/
Andoid inampangilio mzuri wa Filesm na document Tofauti na iOS haina Fila manager nzuri.