Ipi bora kati iPhone na Android? Toa sababu zenye nguvu

Ukishasema android ni simu zote.. yan Android OS ni hiyohiyo kwenye simu zote isipokuwa tu, kuna baadhi ya feature zinaongezwa na kampuni husika ya simu katika Launcher zao
Ndio mkuu sahihi ukizungumzia android zipo nyingin sana

Pia ziko more advanced compared to iphone

Mfano android iko more developed than iphone
💥android tayari sas wanatumia kioo aina ya dynamic foldable amoled lakini iphone bado hawajafika huko
 
PIa mkuu ilitakiwa hoja

Mi sijamaamisha ya kugoogle mkuu iphone nimetumia pia samsung natumia siongelei ushabiki

Amoled ni better kuliko oled

#Personal experience
📌nilishwahi kumiliki iphone X
📌nishawahi kumiliki iphone 11 plain
📌nishawahi kumiliki iphone 13 pro max
🔨nishawahi kutumia samsung S10 plain
🔨nishawahi kutumia samsung S20 plain 5g
🔨nishawah kutumia samsung s21 utra
🔨sasa natumia samsung Z flip 3 5g
Nimejaribu kufanya comparison Android ni bora zaidi ya iphone kwenye kioo(amoled) pia hata kwa performance na battery capacitance
Nishajua wewe ni mnazi wa samsung
 
Kwanza swali lako limekaa kiwaki 'Kati ya IPhone na Android' ebu kwanza ujue Android ni mfumo endeshaji na iPhone ni aina au zalio la Apple.
Sijui ulikuwa umelenga kitu gani hapo, basi mm nasema hivi kati ya iPhone na Android ipi bora ni Android.
Labda mpaka urudie swali lako vizur ili ujibiwe ki-point
 
Nimejaribu kufanya comparison Android ni bora zaidi ya iphone kwenye kioo(amoled) pia hata kwa performance na battery capacitance
Yaani bora kwenye nini? Ukifuata takwimu zipi na reviews zipi? Kioo cha android ni bora kwenye nyanja zipi ukilinganisha na Iphone?, Battery capacitance ni nini? au ulitaka kusema Capacity?
Pia ziko more advanced compared to iphone
More advanced kwenye nini? Don't be too general, specify hoja zako.
Mfano android iko more developed than iphone
Developed kwenye nini?

Finally Kijana jenga hoja yako vizuri uki refer vema takwimu na user reviews na Benchmarks la sivyo utakuwa unapiga porojo.
 
Yaani bora kwenye nini? Ukifuata takwimu zipi na reviews zipi? Kioo cha android ni bora kwenye nyanja zipi ukilinganisha na Iphone?, Battery capacitance ni nini? au ulitaka kusema Capacity?

More advanced kwenye nini? Don't be too general, specify hoja zako.

Developed kwenye nini?

Finally Kijana jenga hoja yako vizuri uki refer vema takwimu na user reviews na Benchmarks la sivyo utakuwa unapiga porojo.
Mkuu pitia huko juu nimeeleza vizuri
 
Sizungumzii display ya ku google wewe shika iphone halafu shika android yoyote halafu rudi hapa tubishane
Tena mwenye iPhone 15 Pro Max haingii katika Screen yoyote ya Amoled.. picha moja ukiangalia kote ya iPhone inaonekana imefubaa
 
S
Kwanza swali lako limekaa kiwaki 'Kati ya IPhone na Android' ebu kwanza ujue Android ni mfumo endeshaji na iPhone ni aina au zalio la Apple.
Sijui ulikuwa umelenga kitu gani hapo, basi mm nasema hivi kati ya iPhone na Android ipi bora ni Android.
Labda mpaka urudie swali lako vizur ili ujibiwe ki-point
imu na OS zake
 
Mleta mada unachanganya mambo:

Android ni operating system na iPhone ni simu. Kichwa cha uzi hakijakaa sawa maana haieleweki zinashindanishwa simu au OS.
Soma maelezo wacha Porojo,..
 
Sizungumzii display ya ku google wewe shika iphone halafu shika android yoyote halafu rudi hapa tubishane
We jama ni sawasawa useme kimbiza fusonlenye hp 200 halafu endesha subaru yenye hp 350 useme fuso linakimbia kimuonekano

Au soda ya ml250 ni nyingi kuliko soda ya ml 300 kisa shape ya chupa😂😂😂

Wtf was your reasoning?
 
Sizungumzii display ya ku google wewe shika iphone halafu shika android yoyote halafu rudi hapa tubishane
Chukua Iphone latest, chukua nw Samsung s4 au s5 za miaka ya 2014 na 2015 kisha angalia jinsi gani display za iphone ni takataka tu. Hapo tusizungumzie display za Note 10 au Note 20 Ultra, wala tusiguze S21 series kuja juu.
 
Nilianza na iPod nano,nikaja iPhone 3gs,4,4s,5 sijatumia,nikaja 5s, iPad 4, Hadi hapa tulipofikia,itoshe kusema iPhone zipo OVERPRICED...Thamani na ubora tofauti...angalau MacBooks Bei mlima but Zina ubora huo...
Iphone vitu vyake ni durable, tena ukiwa mtunzaji utazichoka wewe, Samsung pia akaja na vitu imara pia, so kwa sasa ngoma ni droo kiaina. Ila yote ya yote, Samsung na android yake ni nzuri zaidi kuliko Iphone.
 
PIa mkuu ilitakiwa hoja

Mi sijamaamisha ya kugoogle mkuu iphone nimetumia pia samsung natumia siongelei ushabiki

Amoled ni better kuliko oled

#Personal experience
📌nilishwahi kumiliki iphone X
📌nishawahi kumiliki iphone 11 plain
📌nishawahi kumiliki iphone 13 pro max
🔨nishawahi kutumia samsung S10 plain
🔨nishawahi kutumia samsung S20 plain 5g
🔨nishawah kutumia samsung s21 utra
🔨sasa natumia samsung Z flip 3 5g
Nimejaribu kufanya comparison Android ni bora zaidi ya iphone kwenye kioo(amoled) pia hata kwa performance na battery capacitance
Android inanyumbulika, ina udambwi udambwi kuliko gereza la Apple.
 
Back
Top Bottom