contask
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 780
- 1,579
Ndio mkuu sahihi ukizungumzia android zipo nyingin sanaUkishasema android ni simu zote.. yan Android OS ni hiyohiyo kwenye simu zote isipokuwa tu, kuna baadhi ya feature zinaongezwa na kampuni husika ya simu katika Launcher zao
Pia ziko more advanced compared to iphone
Mfano android iko more developed than iphone
💥android tayari sas wanatumia kioo aina ya dynamic foldable amoled lakini iphone bado hawajafika huko