Ipi bora kati iPhone na Android? Toa sababu zenye nguvu

Halafu vitu vingine ni kama umechapia. Mwizi kuzima simu inahitaji nini? PIN number? Kama ni hivyo huoni kuwa italeta conflict na forced reboot ambayo ni feature muhimu sana kwenye simu za android?
Inahitaj Pin, Face ID, Fingerprint, au Email Verification.. hata kama Umesahau Pin huwez Sahau vyote.. mwizi atakosa vyote
 
Watumiaji wa android wanajishtukia sana😀.
Mi naona kimfaacho mtu chake. Kila mtu ana mapendekezo ya kutumia bidhaa flani kutokana na mahitaji yake.
Mfano; Kuna watu wananunua simu flani kutokana na uwezo wake wa camera tu. Wengine humu wanasema simu zao zina display kali (ndo alichopenda), basi na wa iphone atakuwa ana kitu alichoipendea eg security. Na kama mtu anatumia bidhaa fulani kwa ajili ya show off tu huku bidhaa hiyo haikidhi anachohitaji hawezi dumu nayo ataiuza tuu.
Tuheshimu mapendeleo/machaguzi ya watu.
 
Unajistukiaje na android wakati android is better than iphone mkuu
 
Watumiaji wa android wanajishtukia sana😀.
Mi naona kimfaacho mtu chake. Kila mtu ana mapendekezo ya kutumia bidhaa flani kutokana na mahitaji yake.
Mfano; Kuna watu wananunua simu flani kutokana na uwezo wake wa camera tu. Wengine humu wanasema simu zao zina display kali (ndo alichopenda), basi na wa iphone atakuwa ana kitu alichoipendea eg security. Na kama mtu anatumia bidhaa fulani kwa ajili ya show off tu huku bidhaa hiyo haikidhi anachohitaji hawezi dumu nayo ataiuza tuu.
Tuheshimu mapendeleo/machaguzi ya watu.
Su tubiashane kwa hoja je umetumia iphone kubwa ipi na android kubwa ipi

Na je ulikumbana na weakness zipi na strength zipi?

N.B sio kalushika na kusikia bali kutumia
 
Inahitaj Pin, Face ID, Fingerprint, au Email Verification.. hata kama Umesahau Pin huwez Sahau vyote.. mwizi atakosa vyote
Hivyo vyote ni chamtoto mkuu simu inaibiwa na inaflashiwa vizuri tu na inaendelea kutumika
 
Na Kweli iPhone ni Ufahari, watu wanajunyima wanunue.. na hapo ndo tatizo, zipo Android Cheap ila ar least zinauwezo mzuri na mtu hajipasui sana kununua.
Masihara masihara iphone 13 pro inaweza kulinganishwa na huawei p30 pro na bado iphone ikapigwa chini interm of
Perfomance
Battery
Display
Processor
 
Chukua Iphone latest, chukua nw Samsung s4 au s5 za miaka ya 2014 na 2015 kisha angalia jinsi gani display za iphone ni takataka tu. Hapo tusizungumzie display za Note 10 au Note 20 Ultra, wala tusiguze S21 series kuja juu.
Nilichogundua wengi wetu tunatumia Samsung za uongo sana yaani S series ya kuanzia 20+ display yake utafanishe na Iphone utani sana huo...
 
Su tubiashane kwa hoja je umetumia iphone kubwa ipi na android kubwa ipi

Na je ulikumbana na weakness zipi na strength zipi?

N.B sio kalushika na kusikia bali kutumia
Mimi siko kiubishani hoja yangu ni kuwa kila mtu anatumia kitu kutokana na kinavyomfaa. Kuna mtu kutokana na nature ya shughuli zake au yeye alivyo utakuta kiswaswadu ndo kinamfaa.

Mi zote natumia ios na android, ila kwangu naona ios ni nyepesi zaidi kutumia zaidi kuliko android. Yaani
Interaction baina ya device na mtumiaji ios iko vizuri so ni rahisi kuitumia.
 
Inahitaj Pin, Face ID, Fingerprint, au Email Verification.. hata kama Umesahau Pin huwez Sahau vyote.. mwizi atakosa vyote
Bado sana hujaniridhisha na jibu lako. Kuzima simu uhitaji hivi ndiyo usalama? Na siku iki-stack (ikiganda) unaweje kufanya force reboot? Kmbuka ni mara nyingi tu simu inaweza kuganda na huna namna ila inabidi u-force kuizima na ili iwake tena. Pili kuna mifuko yenye uwezo wa kuzuia signals za simu mara unapoziweka ndani ya mfuko. N mifuko midogo tu na inauzwa rahisi kama hii ya rambo. Yaani mwizi akiiba simu na kuiweka kwenye mfuko, basi inakata mawasiliano yote na hata kama umekaa karibu naye ukipiga haiiti wala huwezi ku-track iko wapi.
 
Mimi siko kiubishani hoja yangu ni kuwa kila mtu anatumia kitu kutokana na kinavyomfaa. Kuna mtu kutokana na nature ya shughuli zake au yeye alivyo utakuta kiswaswadu ndo kinamfaa.

Mi zote natumia ios na android, ila kwangu naona ios ni nyepesi zaidi kutumia zaidi kuliko android. Yaani
Interaction baina ya device na mtumiaji ios iko vizuri so ni rahisi kuitumia.
Umejibu vyema
 
Back
Top Bottom