Ipi bora kati iPhone na Android? Toa sababu zenye nguvu

Iphone vitu vyake ni durable, tena ukiwa mtunzaji utazichoka wewe, Samsung pia akaja na vitu imara pia, so kwa sasa ngoma ni droo kiaina. Ila yote ya yote, Samsung na android yake ni nzuri zaidi kuliko Iphone.
Yes ndio maana sijakosoa ubora wa iPhone, concern yangu ipo kwenye Bei zake...
 
M

MKuu iphone nimewahi kutumia
Iphone kubwa ambayo nimewahi kutumia ni iphone 13 pro max
Kiukweli iphone ni takataka
Unajua mkuu mashabiki wengi wa Iphone wanaona sisi tunaosema iphone ni overrated ni kama hatujawahi kuzitumia hizo iphone.
 
Tena mwenye iPhone 15 Pro Max haingii katika Screen yoyote ya Amoled.. picha moja ukiangalia kote ya iPhone inaonekana imefubaa
unajua watu ni mashabiki maandazi wanabisha bila ufahamu na uzoefu

📌wakati iphone inatumia OLED display android inatumia OLED ambayo iko advanced na kuitwa AMOLED ambayo hiyo amoled imekua advanced hadi kufikia SUPER AMOLED
📌Ambayo ikawa more advanced tena na kuitwa DYNAMIC AMOLED
ila watu wa iphone hawafahamu hilo
 
Iphone users wanataka kujiona wapo top kuliko android bila sababu za kimantic mkuu
Mfano mdogo, lini umewahi kuona wameanzisha uzi humu? Mara zote si uwa android ndiyo wanaanzisha?

Uwa mnatafuta nini? Kwanini kila mtu asitulie na vile aliamua pesa yake inunue nini?

Ukinunua gari, utaangalia tu fuel consuption? Au utaangalia na barabara za unakoishi?
 
Mtoa uzi hajasema yeye ni android user au iphone(ios) user yeye yupo kwenye kuangalia ubora wa operating system na simu kwa ujumla

#IPHONE VS ANDROD
POINT ZIENDELEEđź’Ą
 
Mawazo yako ni ya ki-bongo bongo. Inferiority complex imekutawala na kila ukimuona mwenye Iphone unadhani anakuringia wewe. Majuu Iphone zipo nyingi na hata ukiwa na Iphone huonekani kama ni special au unafanya show off.
 
K
Read btn lines za comments… baki na jibu, then bye!
KWa kuongezea pia hata android user wapo wa show off kama vile sime inatembea na power bank ongezea kwenye line

đź’ĄSisi wengine tunatumia window phone
 
Halafu vitu vingine ni kama umechapia. Mwizi kuzima simu inahitaji nini? PIN number? Kama ni hivyo huoni kuwa italeta conflict na forced reboot ambayo ni feature muhimu sana kwenye simu za android?
 
Mawazo yako ni ya ki-bongo bongo. Inferiority complex imekutawala na kila ukimuona mwenye Iphone unadhani anakuringia wewe. Majuu Iphone zipo nyingi na hata ukiwa na Iphone huonekani kama ni special au unafanya show off.
Mimi naweza Kusema iPhone ni simu nzuri ya Pride, laiin tukizingatia Ubora iPhone haitoboi, zinaongoza kwa Kuungua Display. charge yake kupungua ubora na kuanza kuisha haraka ndan ya muda wa miez kadhaa baada ya kuanza kuitumia japo ni nzuri haistqck, ila inaachwa Gape kubwa kwenye Ubora mana simu bora dunia iPhone inaingia namba 3 cjui 4, tena iPhone 15 Pro Max pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…