Ipi bora kati ya kuishi sehemu unayoipenda lakini hapana pesa na sehemu usiyoipenda lakini Pana pesa?

Joined
Oct 23, 2024
Posts
17
Reaction score
5
Eti je ni sawa kuishi sehemu unayoipenda, na unaAmani kabisa moyoni kama utaishi sehemu hiyo, lakini kiuchumi ni pabovu Sana , na ukisema unatafuta maisha kutoboa ni kazi ngumu?

Kuliko kuishi sehemu usiyo ipenda na huna Amani napo lakini kiuchumi pako vizuri na ukikomaa unatoboa?
 
Kundi kubwa la watanzania wanapenda kuishi kwenye comfort zone, regardless kama kuna pesa au hakuna pesa.

Ndio maana ukim challenge mtu kwenda nje ya nchi anaanza kukupa orodha ya matakataka yasiyo na tija kiuchumi atakayoyakosa kipindi akiwa nje ya nchi.
 
Ko mwisho kabisa Bora kuishi wapi?
 
Bila pesa maisha hayaendi, sehemu usiyoipenda kama una pesa unaweza kuiboresha ukaipenda
 
Kuna sehemu ya kuishi ukiwa unajitafta, Basda ya kujipata na sehemu ya kuishi uki staafu
Je wewe upo kwenye level gani?
 
Back
Top Bottom