Ipi bora kati ya kuishi sehemu unayoipenda lakini hapana pesa na sehemu usiyoipenda lakini Pana pesa?

Ipi bora kati ya kuishi sehemu unayoipenda lakini hapana pesa na sehemu usiyoipenda lakini Pana pesa?

Kuna sehemu ya kuishi ukiwa unajitafta, Basda ya kujipata na sehemu ya kuishi uki staafu
Je wewe upo kwenye level gani?
Watu wengi hua wanaishi sehemu ambazo hawazipendi ila wapo kutafuta. Ndio maana wengi wakishapata hela wanahama sehemu wanazoishi na kwenda kuishi sehemu wanazopenda.
 
Eti je ni sawa kuishi sehemu unayoipenda, na unaAmani kabisa moyoni kama utaishi sehemu hiyo, lakini kiuchumi ni pabovu Sana , na ukisema unatafuta maisha kutoboa ni kazi ngumu?
Chagua sehemu ambayo utakuwa na amani na furaha kuishi hasa wakati wa uzee wako.

Nikiwa na maana kuwa na long term plan kwa kile ukifanyacho sasa.
 
Back
Top Bottom