Adrophin Anselimo
Member
- Oct 23, 2024
- 17
- 5
- Thread starter
- #21
Ndokwanza najitafutaKuna sehemu ya kuishi ukiwa unajitafta, Basda ya kujipata na sehemu ya kuishi uki staafu
Je wewe upo kwenye level gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndokwanza najitafutaKuna sehemu ya kuishi ukiwa unajitafta, Basda ya kujipata na sehemu ya kuishi uki staafu
Je wewe upo kwenye level gani?
Kajitafte sehemu yenye opportunity uje uishi unako papendaNdokwanza najitafuta
Watu wengi hua wanaishi sehemu ambazo hawazipendi ila wapo kutafuta. Ndio maana wengi wakishapata hela wanahama sehemu wanazoishi na kwenda kuishi sehemu wanazopenda.Kuna sehemu ya kuishi ukiwa unajitafta, Basda ya kujipata na sehemu ya kuishi uki staafu
Je wewe upo kwenye level gani?
NimekuelewaKajitafte sehemu yenye opportunity uje uishi unako papenda
Kuna kitu nimepataWatu wengi hua wanaishi sehemu ambazo hawazipendi ila wapo kutafuta. Ndio maana wengi wakishapata hela wanahama sehemu wanazoishi na kwenda kuishi sehemu wanazopenda.
Chagua sehemu ambayo utakuwa na amani na furaha kuishi hasa wakati wa uzee wako.Eti je ni sawa kuishi sehemu unayoipenda, na unaAmani kabisa moyoni kama utaishi sehemu hiyo, lakini kiuchumi ni pabovu Sana , na ukisema unatafuta maisha kutoboa ni kazi ngumu?
Hii Imekaa poaChagua sehemu ambayo utakuwa na amani na furaha kuishi hasa wakati wa uzee wako.
Nikiwa na maana kuwa na long term plan kwa kile ukifanyacho sasa.