Adrophin Anselimo
Member
- Oct 23, 2024
- 17
- 5
Eti je ni sawa kuishi sehemu unayoipenda, na unaAmani kabisa moyoni kama utaishi sehemu hiyo, lakini kiuchumi ni pabovu Sana , na ukisema unatafuta maisha kutoboa ni kazi ngumu?
Kuliko kuishi sehemu usiyo ipenda na huna Amani napo lakini kiuchumi pako vizuri na ukikomaa unatoboa?
Kuliko kuishi sehemu usiyo ipenda na huna Amani napo lakini kiuchumi pako vizuri na ukikomaa unatoboa?