Ipi faida ya Mzee Alli Hassan Mwinyi kuwepo Dodoma kama Baba wa Taifa aliyebakia?


Nani kasema Mh. Mzee Mwinyi ni Baba wa Taifa? Au ndio kuchafuana
 
wana cdm wanajadili mikakati ya ccm.alafu sio kwa bahati mbaya ila ni mipango flani flani imewekwa mpaka unakuta tu wapinzani wanajadili mambo ya ccm.
 
kumbuka kitabu cha mwalimu "UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA".
 
Mkuu hujui ya kwamba Mzee Mwinyi alipewa uraisi na Hayati J.K.Nyerere kwa sababu ilikuwa ni rahisi sana kwa Nyerere kumthibiti yaani yeye pale alikuwa kama TV rimoti alikuwa nayo Baba wa Taifa
 
Mkuu hujui ya kwamba Mzee Mwinyi alipewa uraisi na Hayati J.K.Nyerere kwa sababu ilikuwa ni rahisi sana kwa Nyerere kumthibiti yaani yeye pale alikuwa kama TV rimoti alikuwa nayo Baba wa Taifa

Sio kweli. Chaguo la Mwalimu: Salim Ahmed Salim... Mwinyi 'alipindua meza' wakati wa dakika za nyongeza...
 
Kabisa kabisa Mkuu, huyu wa sasa atakuleteeni Hussein Mwinyi iwapo ATAKUBALIA kuachia madaraka akiona inafaa. Mark my words.
 
Ruksa! Unless haujamjua bado. Yeye Kila kitu ruksa
 
Mimi naliona tatizo la huyu mzee ni kuzidi kujionyesha kwa mteuzi wa mwanae kuwa mgombea urais wa visiwani.

Hana njia nyingine ya kuwasilisha shukrani zake kwa mamlaka ya uteuzi zaidi ya kufanya hayo anayo yafanya leo.
 
Katiba sio msahafu acha upumbavu
 
Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye anatazamwa kama kiongozi baba wa nchi aliyebakia akihimiza eti katiba iende likizo kwa muda ili jambo ambalo kimsingi hata halina maana lifanyike.
Mkuu unaweza kutuwekea nukuu au sauti yake halisi mahali ambapo amesema(amehimiza) "katiba iende likizo"?
Mbona mara zote amesema inawezekana kubadili katiba.

Nafasi ya kubadili katiba ipo kisheria, katiba inaruhusu utaratibu wa kufanya mabadiliko ya katiba iwe maboresho madogo au kuandika mpya.
Tuache watu watoe maoni yao kama tunavyodai uhuru wa kutoa maoni.

Kwanini mnakuwa madikteta kwa kukataa wengine wasitoe maoni yao?
Suala la msingi hapa iwapo maoni ya wengi yataheshimiwa kikatiba hata kama wewe na mimi hatupendi hayo wanayotaka wengine tofauti na mitizamo au misimamo yetu.

Kwani maoni yake ni maamuzi ya serikali? Acha atoe maoni kisha watu waamue kama yana tija au la.

NB: Mimi sitaki kabisa habari ya kubadili katiba. Naamini litakuwa moja ya makosa makubwa sana kuwahi kufanywa na Mh. Magufuli.
Tukumbuke mtizamo wangu siyo sheria au ndicho kitu sahihi. Naweza kuwa sipo sahihi kabisa.
 
Sio kweli. Chaguo la Mwalimu: Salim Ahmed Salim... Mwinyi 'alipindua meza' wakati wa dakika za nyongeza...
Naomba upitie kidogo hapo ndio utajua namaanisha nini..
 

Attachments

  • DB5C7B0E-87CF-497A-BBB5-0DB160CE7F27.jpeg
    147.9 KB · Views: 1
Mkuu sasa nani atakuwa ni baba wa taifa?
Mzee RUKHSA si Baba wa Taifa Mkuu huyo ni Baba yake Hussein Mwinyi Rais mtarajiwa wa Zenj. Hana sifa wala hadhi ya kupewa huo wadhifa.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…