Ipi inauma sana kati ya mke na Dada kumkuta na mtu?

Ingawa ni swali ila muda mwingine muwe mnajaribu angalau kwa mbaaali kushirikisha ubongo mnapotaka kuanzisha nyuzi
 
kwa kweli mimi for now dada nikimkuta na mtu inaniuma sana tena sana tena nijue jamaa ni mzinguajiii na hana mpango wa kuoa yan ndo nakosa raha na amani kabisaa maana najua wanaume tulivyooo
 
Ingawa ni swali ila muda mwingine muwe mnajaribu angalau kwa mbaaali kushirikisha ubongo mnapotaka kuanzisha nyuzi
Kinachoendesha akili nini?
 
labda nikuulize kitu mtoa mada dimaa huyo dada yako utamuoa wewe? kama jibu ni hapana basi ujue mada yako haina mashiko na inawezekana ukawa na tatizo fulani la kisaikolojia
 
Usichanganye undugu wa damu na mapenzi. Mwenye akili atajua we inaelekea unakulaga ndugu sasa ikafika mahali ukamfumania na mtu mwingine sasa unataka ushauri huku kiaina. Vinginevyo we unamwoneje wivu dadako?
 
Habari wanajukwaa, kama title inavyojieleza, ipi ukikutana nayo hapo juu inakuumiza sana katika maisha yako ?
Karibuni sana tupeane mawazo.
Usichafue ustaarabu.
wewe utakua hujaoa wewe swali gani hilo
 
Mwnye dada hakosi shemeji. Pia mke ni dadaake mtu fulani.
 
Sasa huyo dada yako utamuoa wewe??? Wakati wakumchunga mdogo wako au wa kike au dada yako ni wakati anasoma, akiwa ana kazi yake na maisha yake inakuwa haikuhusu, labda iwe anabadilisha mcharuko na hajatulia hapo utamuweka na kuongea nae tu kiutu uzima, huna ruhusa ya kumpiga huko barabarani n.k.

KIUFUPI MKE NDO ANAKUHUSU, DADA ANA MAISHA YAKE UNAMUOONEA WIVU HUTAKI AOLEWE SASA WAZA WEWE ULIMPATAJE MKEO.
 
labda nikuulize kitu mtoa mada dimaa huyo dada yako utamuoa wewe? kama jibu ni hapana basi ujue mada yako haina mashiko na inawezekana ukawa na tatizo fulani la kisaikolojia
Kvp haina mashiko?, ww ndo hutengenezi hoja yenye mashiko, uzi uko njema cna!
 
Usichanganye undugu wa damu na mapenzi. Mwenye akili atajua we inaelekea unakulaga ndugu sasa ikafika mahali ukamfumania na mtu mwingine sasa unataka ushauri huku kiaina. Vinginevyo we unamwoneje wivu dadako?
Uzi hujauelewa
 
Mwenye dada hakosi shemeji,
Hapo labda mke
 
Ishu nikuolewa au taratibu za kisheria zifatwe!.
 
Ishu nikuolewa au taratibu za kisheria zifatwe!.
Ni nani anaona mtu asiemjua hasa kizazi hiki, nilazima ataanza nae urafiki, mahusiano ndo afate taratibu za ndoa wewe watokea kijijini labda, mie nimejibu kulingana na issue hasa za mjini, japo hata huko vijijini nako baadhi huingia kwenye mahusiano, zamani ndo mume anakuja moja kwa moja kufata taratibu za kisheria, sio sasa, wanajuana kwanza ndo taratibu zinafata.
 
Hebu tueleze kwanza wewe unaumizwa na kipi?
 
mkuu kama sina dada naruhusiwa kuchangia?
 
Hii ni sheria au mtazamo wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…