Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasaSasa dadaako utamwoneaje wivu?
wewe utakua hujaoa wewe swali gani hiloHabari wanajukwaa, kama title inavyojieleza, ipi ukikutana nayo hapo juu inakuumiza sana katika maisha yako ?
Karibuni sana tupeane mawazo.
Usichafue ustaarabu.
Ishu nikuolewa au taratibu za kisheria zifatwe!.Sasa huyo dada yako utamuoa wewe??? Wakati wakumchunga mdogo wako au wa kike au dada yako ni wakati anasoma, akiwa ana kazi yake na maisha yake inakuwa haikuhusu, labda iwe anabadilisha mcharuko na hajatulia hapo utamuweka na kuongea nae tu kiutu uzima, huna ruhusa ya kumpiga huko barabarani n.k.
KIUFUPI MKE NDO ANAKUHUSU, DADA ANA MAISHA YAKE UNAMUOONEA WIVU HUTAKI AOLEWE SASA WAZA WEWE ULIMPATAJE MKEO.
Ni nani anaona mtu asiemjua hasa kizazi hiki, nilazima ataanza nae urafiki, mahusiano ndo afate taratibu za ndoa wewe watokea kijijini labda, mie nimejibu kulingana na issue hasa za mjini, japo hata huko vijijini nako baadhi huingia kwenye mahusiano, zamani ndo mume anakuja moja kwa moja kufata taratibu za kisheria, sio sasa, wanajuana kwanza ndo taratibu zinafata.Ishu nikuolewa au taratibu za kisheria zifatwe!.
Hii ni sheria au mtazamo wako?Ni nani anaona mtu asiemjua hasa kizazi hiki, nilazima ataanza nae urafiki, mahusiano ndo afate taratibu za ndoa wewe watokea kijijini labda, mie nimejibu kulingana na issue hasa za mjini, japo hata huko vijijini nako baadhi huingia kwenye mahusiano, zamani ndo mume anakuja moja kwa moja kufata taratibu za kisheria, sio sasa, wanajuana kwanza ndo taratibu zinafata.