Ipi inauma sana kati ya mke na Dada kumkuta na mtu?

Una haki gani ya kumgombea dada yako wakati wewe unapenda pia. Hao unaowapenda nao wana kaka. Labda kama huyo dada unakula mwenyewe mbali na hapo huna haja ya kumuonea wivu dada yako.
 
Dada yako anakuhusu nn mpaka umwonee wivu mm nikimkuta Dada navunga au neno language moja tu sorry.
ila ukiona unamwonea wivu Dada yako jua unasumbuliwa na tatizo la kisaikolojia mwone dokta kabla ya mpango wako wa kuchungulia underware ya Dada ako.
 
Ukikua utaacha

Tatizo ni umri na baleghe bado inakusumbua unatamani ulale hata na dada yako.
Mkuu tunashindana kwa hoja, so kuchafua hali ya hewa
 
Wote wanauma.raha ya Dada ni apate shemeji wa maana kuliwa aliwe lakini kwa siri mpaka aolewe..sio Dada kaliwa huko anarudi na kitambi home,au analiwa unamkuta live aibuuu.mke anauma pia
 
Una haki gani ya kumgombea dada yako wakati wewe unapenda pia. Hao unaowapenda nao wana kaka. Labda kama huyo dada unakula mwenyewe mbali na hapo huna haja ya kumuonea wivu dada yako.
Rejea kusoma Uzi upya tena
 
Dada yako anakuhusu nn mpaka umwonee wivu mm nikimkuta Dada navunga au neno language moja tu sorry.
ila ukiona unamwonea wivu Dada yako jua unasumbuliwa na tatizo la kisaikolojia mwone dokta kabla ya mpango wako wa kuchungulia underware ya Dada ako.
Rejea title
 
Back
Top Bottom