Ingekua imepangwa hivyo basi asingechukua form kabisa.Waziri mkuu mtarajiwa,ulonzi umekubali nimwendo wa kupanda madaraja tu
Very smart!!I'm proud of her. Nothing will be established on a crooked foundationTulia Axon amejiondoa kugombea Uspika
Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU
Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu
Sababu
1. Maandamano ya mo29 yameanza kulipa, maana nasikia Gen z Mbeya walifika kwake kumsalimia
2. Kizimkazi anataka amweke Mzanzibar au chawa hataki mtu wa Bara tena
3. Dhamiri inamsta Kwa wizi wa kura
4 Kizimkazi anajaribu kuondoa watu wa JpM kwenye mihimili muhimu
5. Kizimkazi hataki akili kubwa anataka vilaza tuView attachment 3498670
Umeutendea vyema ubongo wako. Kuna kitu hakipo sawa. Nadhani alichukuwa lakini ananusa kuwa hatafika popote.Ingekua imepangwa hivyo basi asingechukua form kabisa.
Mganga feki ni wa Ole Sabaya,Mganga wa Dotto ni feki.
Ataendelea kuwa Naibu huku wenzake wakiwa Mabosi kamili
Kama inakuja kuja vile.Ama waziri mkuu, ama waziri mambo ya nje
Hapo ni sawa kula kitimoto halafu ukaenda kupiga lile dufu haramu.Very smart!!I'm proud of her. Nothing will be established on a crooked foundation
Kuna jambo ntakuambia waweza kataa ila ndio ukweli. Tulia Akson anasali kanisa la Pentekoste (MLOKOLE) na yupo karibu na Wachungaji na Askofu waoTulia Axon amejiondoa kugombea Uspika
Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU
Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu
Sababu
1. Maandamano ya mo29 yameanza kulipa, maana nasikia Gen z Mbeya walifika kwake kumsalimia
2. Kizimkazi anataka amweke Mzanzibar au chawa hataki mtu wa Bara tena
3. Dhamiri inamsta Kwa wizi wa kura
4 Kizimkazi anajaribu kuondoa watu wa JpM kwenye mihimili muhimu
5. Kizimkazi hataki akili kubwa anataka vilaza tuView attachment 3498670
Waziri mkuu mtarajiwa,ulonzi umekubali nimwendo wa kupanda madaraja tu