Sozo_
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 3,248
- 6,146
Mangapi amekubaliana nayo yaliyo kinyume kabisa na neno la Mungu, hapa ametemwa kwenye mfumo.Mkoa wa mbeya umehadhirika mno na mauaji. Kama mtu anaamini katika ubinadamu na Mungu hauwezi kuwa sehemu ya uongozi wa juu wa serikali hata kidogo. Unless unaamini katika shetani. Najua Tulia yupo TAG, viongozi wa kiroho TAG watakuwa wamemkumbusha ni nini Bwana Yesu anasema kuhusu udhalimu iliofanywa na samia na genge lake. Angekuwa mshirika wangu ningemwambia akae pembeni kabisa.