Ipi inaweza kuwa sababu ya Tulia kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Uspika?

Kule IPU walimuweka kitimoto sanaaa Hadi akasema kwa vile ametoka Afrika Tanzania!? Sasa kwa namna media za nje zimereport uchaguzi wetu huu halafu yeye ndio awe spika wao ndio watamkaanga vizuri zaidi...so best way kupunguza tension na joto la nje ni apoteze hapa ili na kule atoke bila kuwekwa kitimoto.

Ni assumptions zangu tu, Sasa kama atapewa cheo kingine labda wizara hapo sijajua.
We jamaaa unaakili sana . Na ndiyo alivyowaza
 
Tulia Axon amejiondoa kugombea Uspika
Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU

Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu

Sababu

1. Maandamano ya mo29 yameanza kulipa, maana nasikia Gen z Mbeya walifika kwake kumsalimia

2. Kizimkazi anataka amweke Mzanzibar au chawa hataki mtu wa Bara tena

3. Dhamiri inamsta Kwa wizi wa kura

4 Kizimkazi anajaribu kuondoa watu wa JpM kwenye mihimili muhimu

5. Kizimkazi hataki akili kubwa anataka vilaza tuView attachment 3498670

Ndiye Waziri Mkuu wenu ajaye.
 
Tulia ni mu RC.
Hakuna mu RC wa kweli aliyekubali huu uchaguzi.
Sio huyo tu, wengine watafuata watabaki wafuasi wa BAKWATA na wafuasi wa Askofu Kiongozi Dr. Al haj Alex MalasusA
Namba mbili ni mseminary
 
Pale mjinga anapokuwa mchambuzi wa kisiasa.Wote walioteuliwa wametoka Bara.Zungu na Maselle ni wazanzibar?Uzushi na chuki zitawamaliza sana.
 
Tulia Axon amejiondoa kugombea Uspika
Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU

Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu

Sababu

1. Maandamano ya mo29 yameanza kulipa, maana nasikia Gen z Mbeya walifika kwake kumsalimia

2. Kizimkazi anataka amweke Mzanzibar au chawa hataki mtu wa Bara tena

3. Dhamiri inamsta Kwa wizi wa kura

4 Kizimkazi anajaribu kuondoa watu wa JpM kwenye mihimili muhimu

5. Kizimkazi hataki akili kubwa anataka vilaza tuView attachment 3498670
Kwani Tulia ana akili kubwa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkoa wa mbeya umehadhirika mno na mauaji. Kama mtu anaamini katika ubinadamu na Mungu hauwezi kuwa sehemu ya uongozi wa juu wa serikali hata kidogo. Unless unaamini katika shetani. Najua Tulia yupo TAG, viongozi wa kiroho TAG watakuwa wamemkumbusha ni nini Bwana Yesu anasema kuhusu udhalimu iliofanywa na samia na genge lake. Angekuwa mshirika wangu ningemwambia akae pembeni kabisa.
 
Hapana nadhani wanataka kumpa uwaziri wa mambo ya Nje kwa kuwa Tulia anajua kingereza sio kama Kombo.Halafu ni kabishi kwa hiyo kanaweza watukana wazungu🤣🤣🤣
Halafu kwa kuongezea ni kwamba Samia ameona mawaziri wote warembo kama akina Angela Kairuki, Ummy Mwalimu awatoe kwenye uwaziri maana wanam challenge kwenye eneo hilo maana yeye hataki competition ya aina yoyote.... Baadae alivyokuja kuangaza akagundua huyu Tulia sura mbovu na hana tako anafaa kuwa hata waziri mkuu, akamchomoa faster kwenye uspika
 
Tulia Axon amejiondoa kugombea Uspika
Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU

Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu

Sababu

1. Maandamano ya mo29 yameanza kulipa, maana nasikia Gen z Mbeya walifika kwake kumsalimia

2. Kizimkazi anataka amweke Mzanzibar au chawa hataki mtu wa Bara tena

3. Dhamiri inamsta Kwa wizi wa kura

4 Kizimkazi anajaribu kuondoa watu wa JpM kwenye mihimili muhimu

5. Kizimkazi hataki akili kubwa anataka vilaza tuView attachment 3498670
Tulia aliletwa bungeni na ccm kwa ajili ya kudeal na wapinzani hasa chadema ambao walikuwa wanaigaragaza bunge la ccm kwa umahiri wa hoja zao katika sheria na mambo mengine. Kudeal nao wakaona wamlete tulia kuwashughulikia. Kwa sasa wapinzani hawapo, hoja za maana ambazo zingeweza kuuamsha hisia nje ya nchi kutoka bungeni hakuna tena. Tulia hana kazi ya maana bungeni kwa sasa hivyo wameona waendelee na utaratibu wao wa spika kada wa ccm. Ameshatumika hivyo kazi imeisha.
 
Mkoa wa mbeya umehadhirika mno na mauaji. Kama mtu anaamini katika ubinadamu na Mungu hauwezi kuwa sehemu ya uongozi wa juu wa serikali hata kidogo. Unless unaamini katika shetani. Najua Tulia yupo TAG, viongozi wa kiroho TAG watakuwa wamemkumbusha ni nini Bwana Yesu anasema kuhusu udhalimu iliofanywa na samia na genge lake. Angekuwa mshirika wangu ningemwambia akae pembeni kabisa.
 
Tulia aliletwa bungeni na ccm kwa ajili ya kudeal na wapinzani hasa chadema ambao walikuwa wanaigaragaza bunge la ccm kwa umahiri wa hoja zao katika sheria na mambo mengine. Kudeal nao wakaona wamlete tulia kuwashughulikia. Kwa sasa wapinzani hawapo, hoja za maana ambazo zingeweza kuuamsha hisia nje ya nchi kutoka bungeni hakuna tena. Tulia hana kazi ya maana bungeni kwa sasa hivyo wameona waendelee na utaratibu wao wa spika kada wa ccm. Ameshatumika hivyo kazi imeisha.
Hoja hii ina mashiko👏
 
Back
Top Bottom