The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,928
Tulia hakujitoa. Ameonekana hahitajiki tena baada ya kuwasaliti watanzania kwa kutunga sheria iliyowezesha kuuzwa bandari. Badala yake amewekwa yule kibogoyo @73 years. No new idea whatsoever.
Kwa hiyo hahitajiki na akina nani na hao waliomuweka kibogoyo ni akina Nani? I see so much contradiction hereTulia hakujitoa. Ameonekana hahitajiki tena baada ya kuwasaliti watanzania kwa kutunga sheria iliyowezesha kuuzwa bandari. Badala yake amewekwa yule kibogoyo @73 years. No new idea whatsoever.
Hii mimi pia na hamu ya kujua nafanya juu chini kupata reliable informationDid she relinquish the post on her own or was squeezed out by the "system"
Nini kilitokea? Alikosana na Samia?
Kumbe!Hakujitoa, alifukuzwa