Ikizu Bukama
JF-Expert Member
- Nov 26, 2023
- 560
- 1,061
Hapana nadhani wanataka kumpa uwaziri wa mambo ya Nje kwa kuwa Tulia anajua kingereza sio kama Kombo.Halafu ni kabishi kwa hiyo kanaweza watukana wazungu🤣🤣🤣Tulia Axon amejiondoa kugombea Uspika
Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU
Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu
Sababu
1. Maandamano ya mo29 yameanza kulipa, maana nasikia Gen z Mbeya walifika kwake kumsalimia
2. Kizimkazi anataka amweke Mzanzibar au chawa hataki mtu wa Bara tena
3. Dhamiri inamsta Kwa wizi wa kura
4 Kizimkazi anajaribu kuondoa watu wa JpM kwenye mihimili muhimu
5. Kizimkazi hataki akili kubwa anataka vilaza tuView attachment 3498670
Waziri wa Mambo ya nje kwa kuwa kapata exposure pale IPU pia Tulia anajua kingereza tofauti na Kombo pia kuna hatari ya ICC kwa hiyo anaandaliwa kwenda kupambana isitokeeAma waziri mkuu, ama waziri mambo ya nje
Ccm Kuna mgawanyiko wa kifikra kwa sasa sema wengi wanashindwa kutoka front kwasabb ya teuzi znazokujaTulia Axon amejiondoa kugombea Uspika
Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU
Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu
Sababu
1. Maandamano ya mo29 yameanza kulipa, maana nasikia Gen z Mbeya walifika kwake kumsalimia
2. Kizimkazi anataka amweke Mzanzibar au chawa hataki mtu wa Bara tena
3. Dhamiri inamsta Kwa wizi wa kura
4 Kizimkazi anajaribu kuondoa watu wa JpM kwenye mihimili muhimu
5. Kizimkazi hataki akili kubwa anataka vilaza tu
Lakini Father sisi sio Watoto kiasi hikiKuna jambo ntakuambia waweza kataa ila ndio ukweli. Tulia Akson a asali kanisa la Pentekoste na yupo karibu na Wachungaji na Askofu wao
Hao wote walimshauri sana kuhusu Dhulma na Maasi yanayotokea nchini ikiwezekana ajiengue na dhulma hizo naye kawa Mwaminifu ati
Huyu dogo ajui chochote katibaSpeaker na Waziri Mkuu nani mzito? Uache u spika ukawe Waziri Mkuu?
Unaweza kua na hojaWaziri wa Mambo ya nje kwa kuwa kapata exposure pale IPU pia Tulia anajua kingereza tofauti na Kombo pia kuna hatari ya ICC kwa hiyo anaandaliwa kwenda kupambana isitokee
Hii inakuja kujaWaziri wa Mambo ya nje kwa kuwa kapata exposure pale IPU pia Tulia anajua kingereza tofauti na Kombo pia kuna hatari ya ICC kwa hiyo anaandaliwa kwenda kupambana isitokee
Angekuwa na nia hiyo asingechukua fomu ya kugombeaTulia huyu ninaemfahamu si kwamba ameacha Usipika kuutaka Uwaziri, la hasha ameacha ubunge kwa matakwa yake mwenyewe kuepuka presha na lawama za hapo mbeleni. Tulia haambulii hata cheo chochote ktk Balaza Jipya la Mawaziri la Rais Dk Samia. Note my words
Kataa sasa, alifuatwa mpk nyumbn sheikhLakini Father sisi sio Watoto kiasi hiki
Hii nayo point.Kule IPU walimuweka kitimoto sanaaa Hadi akasema kwa vile ametoka Afrika Tanzania!? Sasa kwa namna media za nje zimereport uchaguzi wetu huu halafu yeye ndio awe spika wao ndio watamkaanga vizuri zaidi...so best way kupunguza tension na joto la nje ni apoteze hapa ili na kule atoke bila kuwekwa kitimoto.
Ni assumptions zangu tu, Sasa kama atapewa cheo kingine labda wizara hapo sijajua.
Mlokole wa mchongo!Kuna jambo ntakuambia waweza kataa ila ndio ukweli. Tulia Akson anasali kanisa la Pentekoste (MLOKOLE) na yupo karibu na Wachungaji na Askofu wao
Hao wote walimshauri sana kuhusu Dhulma na Maasi yanayotokea nchini ikiwezekana ajiengue na dhulma hizo naye kawa Mwaminifu ati