Ipi inaweza kuwa sababu ya Tulia kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Uspika?

Mangapi amekubaliana nayo yaliyo kinyume kabisa na neno la Mungu, hapa ametemwa kwenye mfumo.
 
Wee! Mkuu Hii ni Chai tena ya maziwa ya unga .

Huo somo la huo ustaarabu kwa kile kibetina ni somo lakichina ,tusidanganyane .
 
Wee! Mkuu Hii ni Chai tena ya maziwa ya unga .

Huo somo la huo ustaarabu kwa kile kibetina ni somo lakichina ,tusidanganyane .
Nina Uhakika asilimia 100 na hili, na alifuatwa jpili mbili baada ya Ibada
 
Kwakukuongezea katika hili machifu wa kinyakyusa wamemshauri kutokana na yote yaliyotokea Mbeya tar 29 mpaka tar 3. Bora ususwe na jirani ila si wa nyumbani kwako.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Waziri mkuu lazima mkuu, waziri wa ulinzi, waziri wa fedha waziri wa mambo ya ndani, waziri wa mambo ya nje wanatoka Zanzibar safari hii, pia CDF anatoka Zanzibar Mkunda kashindwa kumfurahisha Abdul, stay tuned
Mkuu unaelewa muundo wa muungano kweli kweli?
Yaani hao top leaders wote watokee kwenye tuvisiwa ndo waje watutawale huku bara?! Hiyo itakuwa ni dharau achilia mbali kuisigina katiba.
Hatuwezi kuzidiwa akili na hawa wala urojo vinginevyo huu muungano uchwara uvunjwe tu.
 
Masauni ndo waziri wa fedha
Makame Mbarawa wazuri wa ulinzi
Mchengerwa waziri wa mambo ya ndani
Wanu (mtoto wa Samia) waziri wa tamisemi
 
Mganga wa Dotto ni feki.

Ataendelea kuwa Naibu huku wenzake wakiwa Mabosi kamili
Alipewa unaibu ili kuwarudisha Wasukuma kuipenda Serikali ya awamu ya 6, na mhusika karudi madarakani wasukuma watasukumana na kusaza!
 
Yan we jamaa ni kama upo kwenye ubongo wake .... na ndicho alichoniambia ... umeandika ukweli 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…