Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Turbo c inakunywa sana mafta tofaut na ile nyingine au1. Comfort -MX
2. Performance -LGT
3. Handling -LGT
Chukua Legacy B4 2.5 GT utojutia,ni turbocharged tofauti na Mark X.
Turbo c inakunywa sana mafta tofaut na ile nyingine au
Vp kuhusu confortability yake na premeo
Kama confortability inaipita premio bas inatoshaConfortability yake ni nzuri ila sio kama Mark X, Mark X inakula mafuta sana kwasababu ya ukubwa wa engine yake ila perfomance haijuti Legacy.
Premio ni gari la kawaida sana.
kweli tafuta isiyo na turbo, autajutia pesa yakoKo ambayo haina turbo ndo bora kabisa
kweli tafuta isiyo na turbo, autajutia pesa yako
ni kweli ila na amini kwa matumizi yake itakuwa poa tuIsiyokua na Turbo,perfomance yake ni ndogo.
Ila unaweza ukachukua ya turbo af usiiwashe turbo??Isiyokua na Turbo,perfomance yake ni ndogo.
Hilo ni bei mkuu af limepasuka tankiMi labda tu nikushauli kama unataka gari ya kula bata hapa mjini, usihangaike chukua NISSAN PATROL iko poa sana Mzee
Duh! Ntapasuka kichwa aseeComfortability na stability Mark X amezidiwa na Nissan Fuga tu. Nilikuwa natemebea nayo kwa 180 bila kujua maana dude limetulia sana. Kuhusu performance Legacy B4 kamzidi Mark X kidogo sana since its a sport car.
Ila Mark X ni Gari ya heshima mjini zaidi ya hiyo Legacy. So kama unataka heshima chukua Mark Matusi
Utamiliki tu siku mamii as long as we livNapenda MarkX sana,haka kagari ni katamu bwana
Japo sijawahi kumiliki,ila hata ukiniamsha usingizini gari simple nilipendalo ni MarkX.
Period
Hahahaha
Upo dar??Jamani mimi natafuta spare shock absorber struts za gari aina ya Mitsubishi minicab pick up truck nitapata wapi? Nimetafuta sana