Ipi kampuni bora ya bima ya magari kati ya hizi?

kwa hizo ulizo andika Mimi naikubali Mayfair kwani ndiyo naifaham vizuri
Zanzibar insurance ni nzuri pia na inafanya kazi Bara na Visiwani
NMB Bank nao ni wakala wa Bima, wanafanya vizuri japo siwajui vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…