Ipi ni adhabu sahihi kwa mwanamke

Ipi ni adhabu sahihi kwa mwanamke

Katika maisha ya ndoa lazima mkwaruzano uwepo wa hapa na pale

Na mwanamke anaweza akakukosea na mwanaume ukataka umpe adhabu ili naye aumie,ajutie kosa lake ili asije akalirudia tena

Ipi adhabu inaweza ikamuumiza mwanamke

1) Kutofanya naye mapenzi kwa wiki kadhaa huku unalala na nguo

2) Kususa kula chakula alichopika kila akikukaribisha unamwambia nimeshiba ila kila siku unatoa hela ya matumizi

3) kumtishia kuoa mke mwingine

4) kununa wiki nzima bila kuongeleshana

5) kumgombeza kwa maneno makali

Sent using Jamii Forums mobile app
FUKUZA TU MKUU,,,tena AFADHALI kidogo hyo NO 5..inaweza kusaidia,,lakini HIYO NO 1....ndy adhabu ya KIPIMBI kuliko ZOTE,,, unadhani MWANAMKE usipomgegeda,, GEGEDEO UNALO PEKE YAKO? hata ukikaa miaka bila KUMGEGEDA wala hashituki. , hyo NO 4 kununa hakukusaidii,, KIMBIZA TU..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yote kwangu hayafai labda ungemxhauri tu na kufanya mabo yote hayo utajikomexha mwenyewe tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mnahangaika saana, Kama una Bastola ukifika Nyumbani Fanya kama unaisafisha safisha mbele yake halafu unalala huongei
 
We jamaa nimekufikiriaaaaa, nikaamua nikukalie kimya tu.
 
Me mwanamke ila hapo sijaona hata adhabu moja ya kumpa mwanamke.

Hivyo ulivyotaja ni tabia za kike (tena za mwanamke asiyejitambua)

Me mtu akinipa moja kati ya adhabu ulizoandika hapo, nitajisikitikia tu kwa kukosea kuchagua mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume wa kususa na kununa atakuwa na shoga. Mwanaume unanunaje na kususa? Ay!
 
Back
Top Bottom