mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
FUKUZA TU MKUU,,,tena AFADHALI kidogo hyo NO 5..inaweza kusaidia,,lakini HIYO NO 1....ndy adhabu ya KIPIMBI kuliko ZOTE,,, unadhani MWANAMKE usipomgegeda,, GEGEDEO UNALO PEKE YAKO? hata ukikaa miaka bila KUMGEGEDA wala hashituki. , hyo NO 4 kununa hakukusaidii,, KIMBIZA TU..Katika maisha ya ndoa lazima mkwaruzano uwepo wa hapa na pale
Na mwanamke anaweza akakukosea na mwanaume ukataka umpe adhabu ili naye aumie,ajutie kosa lake ili asije akalirudia tena
Ipi adhabu inaweza ikamuumiza mwanamke
1) Kutofanya naye mapenzi kwa wiki kadhaa huku unalala na nguo
2) Kususa kula chakula alichopika kila akikukaribisha unamwambia nimeshiba ila kila siku unatoa hela ya matumizi
3) kumtishia kuoa mke mwingine
4) kununa wiki nzima bila kuongeleshana
5) kumgombeza kwa maneno makali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app