Ipi ni alama ya Mbowe kwenye siasa za Tanzania? Dkt. Slaa ametufunza kupinga ufisadi,je huyu mwamba?

Mnyika na Mbowe wanajua mchongo wote.
Je ni kweli mkuu roho YAKO inashudia hovyo,nimekwambia usiseme uongo na kuvuna dhambi bule, achana na mzee wa legacy abebe mwenyewe, tatizo mkuu mmelishwa uongo mwingi pita mzee wa legacy,na mnatakiwa kutubu kila mmoja KWA wakati wake na mda wake na sehemu sahii ,wenda hu mwema na Bado sio kosa Kama ukitubu maana kuongopa ni dhambi na hakuna dhambi ndogo au kubwa mbele za BWANA, wakati unalipwa mil 2 Kuna watu walilipwa mpaka mil kadhaa,wakati unakosa maji ya kunywa jangwani KWA kupigania unachokiamini Kuna watu walikua wanakula mikate na divai tam,
KARIBU CHADEMA
 
Mpaka akili yako itambue utapeli wa kisiasa wa Chadema utakuwa umezeeka.
 
Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?

Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dr Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba anatuachia legacy gani kama mwanasiasa?

Kuwa mzee wa matingas na matumiko?
Legacy yake labda kuvunja mguu wakati akitokea kwa vitu maalum na kusingizia katekwa.
 
Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?

Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dr Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba anatuachia legacy gani kama mwanasiasa?

Kuwa mzee wa matingas na matumiko?

kitu nnachokijua zaidi kuhusu mwamba ni kipindi kilee cha lowasa, na ndo ilikua mwisho wangu wa siasa za upinzani
 
Mkuu naongozwa na roho mtakatifu ,nimekaa miaka takribani miaka mingi tu sikuwahi kujikinga na chama chochote, ila mungu akasema nichague chama kimoja CHAUMA,AU CHADEMA Sasa jiulize why Cha, so ipo siku mungu anasema CHAUMA itainuka KWA nguvu ya ajabu ,so sipo chadema tafuta teuzi, maana maisha yangu mungu anayajua, sipo kutafuta ubunge, but ananitaka kuwa rais wa nchi hii ,kigezo kimoja ni kwamba ikitokea mda UMEFIKA na akatokea mtu mmoja ambaye alinionesha na namjua Basi nisitie mguu, so hatupo chadema KWA njaa, maana mungu alisha tuandalia tutaisha vipi,kula vipi siku zetu za hapa duniani,
KARIBU CHADEMA

Mpaka akili yako itambue utapeli wa kisiasa wa Chadema utakuwa umezeeka.
 
Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?

Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dr Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba anatuachia legacy gani kama mwanasiasa?

Kuwa mzee wa matingas na matumiko?
Uvumilivu hata ndani ya mateso makali!
 
Legacy ya Mbowe ni wazo la KUBADILI GIA ANGANI. Kusema kweli utekelezaji wake wa wazo hili umeleta impact kubwa kwenye siasa za Tanzania kama ifuatavyo.
1. Kurejesha heshma ya Lowassa ambayo ilipotezwa na kashfa za ufisadi,
2. Kuzalisha ombwe la katibu mkuu wa CHADEMA,
3. Mgogoro na mpasuko wa CUF,
4. LIpumba kuitwa Le profeseli Lipumbavu,
5. Kutokuaminiana na kushirikiana kwa dhati miongoni mwa vyama vya siasa,
6. Kupwaya kwa nguvu ya kambi ya upinzani Bungeni
7. Wanasiasa machachari na yeye mwenyewe kupoteza ubunge.
8. Kuzalisha wanasiasa wa upinzani wasiojielewa, wanafiki, wasio na msimamo na wanarubunika na kutumika kirahisi na CCM.

Hizi ndo alama za FAM.
 
Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?

Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dr Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba anatuachia legacy gani kama mwanasiasa?

Kuwa mzee wa matingas na matumiko?
Akili ndogo hujadili watu. Bunge la vilaza limekaa siku tatu kumjadili Mbowe.
 
Ingawa Mimi ni CCM nasema jina la Mbowe litaandikwa kwa DHAHABU kwenye historia ya Tanzania.

Wasukuma wajinga endeleeni kula mavi ya ng’ombe.
 
Back
Top Bottom