Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je ni kweli mkuu roho YAKO inashudia hovyo,nimekwambia usiseme uongo na kuvuna dhambi bule, achana na mzee wa legacy abebe mwenyewe, tatizo mkuu mmelishwa uongo mwingi pita mzee wa legacy,na mnatakiwa kutubu kila mmoja KWA wakati wake na mda wake na sehemu sahii ,wenda hu mwema na Bado sio kosa Kama ukitubu maana kuongopa ni dhambi na hakuna dhambi ndogo au kubwa mbele za BWANA, wakati unalipwa mil 2 Kuna watu walilipwa mpaka mil kadhaa,wakati unakosa maji ya kunywa jangwani KWA kupigania unachokiamini Kuna watu walikua wanakula mikate na divai tam,Mnyika na Mbowe wanajua mchongo wote.
Mpaka akili yako itambue utapeli wa kisiasa wa Chadema utakuwa umezeeka.Je ni kweli mkuu roho YAKO inashudia hovyo,nimekwambia usiseme uongo na kuvuna dhambi bule, achana na mzee wa legacy abebe mwenyewe, tatizo mkuu mmelishwa uongo mwingi pita mzee wa legacy,na mnatakiwa kutubu kila mmoja KWA wakati wake na mda wake na sehemu sahii ,wenda hu mwema na Bado sio kosa Kama ukitubu maana kuongopa ni dhambi na hakuna dhambi ndogo au kubwa mbele za BWANA, wakati unalipwa mil 2 Kuna watu walilipwa mpaka mil kadhaa,wakati unakosa maji ya kunywa jangwani KWA kupigania unachokiamini Kuna watu walikua wanakula mikate na divai tam,
KARIBU CHADEMA
Legacy yake labda kuvunja mguu wakati akitokea kwa vitu maalum na kusingizia katekwa.Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?
Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dr Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba anatuachia legacy gani kama mwanasiasa?
Kuwa mzee wa matingas na matumiko?
Magufuri kuhusika kwake kutaka kumuuwa Lisu kumemchafua sana na kuharibu mema yake mengi.Mbaya sana,aibu kwa taifa.
Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?
Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dr Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba anatuachia legacy gani kama mwanasiasa?
Kuwa mzee wa matingas na matumiko?
tupe ushahidi kwamba magufuli ndo anahusikaMagufuri kuhusika kwake kutaka kumuuwa Lisu kumemchafua sana na kuharibu mema yake mengi.
Mpaka akili yako itambue utapeli wa kisiasa wa Chadema utakuwa umezeeka.
Uvumilivu hata ndani ya mateso makali!Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?
Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dr Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba anatuachia legacy gani kama mwanasiasa?
Kuwa mzee wa matingas na matumiko?
Mzee wa #atake asitake mnamuongezea muda wa kukaa madarakani hadi lini mkuu?kitu nnachokijua zaidi kuhusu mwamba ni kipindi kilee cha lowasa, na ndo ilikua mwisho wangu wa siasa za upinzani
Akili ndogo hujadili watu. Bunge la vilaza limekaa siku tatu kumjadili Mbowe.Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?
Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dr Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba anatuachia legacy gani kama mwanasiasa?
Kuwa mzee wa matingas na matumiko?
Na wewe taahiraHuna akili bwege mkubwa.
Mzee wa #atake asitake mnamuongezea muda wa kukaa madarakani hadi lini mkuu?
Na yule wa #Atake Asitake anapewa cheo cha kuongoza malaika.ccm tunaiongezea miaka 60 tena kwa kutoa viongozi hodari kuanzia nyerere mpaka samia