Ipi ni alama ya Mbowe kwenye siasa za Tanzania? Dkt. Slaa ametufunza kupinga ufisadi,je huyu mwamba?

Kutokubali kuachia Chama kwa watu ambao haoni future yao na Chama...Hilo TU.
 
Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?

Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dr Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba anatuachia legacy gani kama mwanasiasa?

Kuwa mzee wa matingas na matumiko?
Mh Mbowe sio type yenu, huyu ni mwamba kwenye siasa sio tz bali Afrika, na tambua mwamba unaundwa na jiwe gum sio jiwe jepesi mkuu
 
Anaacha au ameweka legacy gani kwenye siasa za Tanzania?
 
Yan we jamaa sjui kama kchwa chako knafanya kazi vzuri.
Kila sku unaleta uzi humu lakn naonaga ni propaganda tu.

Lete uzi hapa tujadili majiz ya taifa hli yako chama gani.
Lete uzi hapa tujadili nani alifilis mashrka ya umma, nani aliua viwanda, nani alsema fedha za escrow si za umma na watu wakazgawana, je amekamatwa au bdo?
Mjinga mmoja wewe.
Huna hadhi ya kuchangia mada kama hii, labda sababu unatafuta mabwana shoga mkubwa wewe.
 
Anaacha au ameweka legacy gani kwenye siasa za Tanzania?
Anaacha au amekua legacy gani
Mpaka Sasa tiyari Kuna chama imara chadema, ambacho kila siku kinaifanya chama tawala kukosa usingizi, kuiondoa ccm madarakani, ni mda wowote pakiwepo tume huru,
Kupitia chadema na uongozi wake ametengenza vijana makini walioiva kiungozi mpaka ccm mnawang,ang,ania KWA Bei za juu Kama Almasi,
Mengine hayana tija maana haijawai kua rais wa tz, so hata wale wanaosemwa kuacha legacy pesa za vitu walivyojaribu kufanya walikua hawatoi mifukoni kwao,au kwenye account zao ,maana hapa ndo umelenga Sana KWA swali lako
 
Mkuu uwe unaona hata aibu, Chadema ni chama imara? Hayo unayosema ya kuwanunua una uhakika nayo?
 
Mkuu, KWA Iyo unaona chadema ni chama Cha mchezo, haya wabunge 19 hapo bungeni wanafanya nini, sio lazima pesa,kurubini mtu KWA ahadi ya cheo ,pesa, n.k ni rushwa so Kama wakataa, hao wabunge kumi na tisa hapo bungeni wanafanya nini KWA nini mnawang,ang,ani, mungu ni shahidi no moja, so Kama nisemalo halina huakika vipi huoni ata wewe binafsi wamwongopea mungu Alie hai, Basi kana Kama sio kweli na tumkabidhi mungu atende haki Kati yangu na wewe, mie nasema ni kweli mkuu,
Twende KAZI nakusubili mkuu
 
Nani aliandika barua ya uteuzi kwa Mahera wa Nec?
 
Ukiachana na elimu ya darasa la saba ya bwana Bujibuji, kakupa muongozo ambao ww mwenye masters 4 umeshindwa kutambua mchango wa Mbowe katika siasa za upinzani za Tanzania
Mchango gani? Kupiga matingasi na kutumbua ruzuku?
 
Back
Top Bottom