Ipi ni changamoto kubwa katika maeneo haya Jijini Dar es Salaam? Mengine yanaogopwa

Ipi ni changamoto kubwa katika maeneo haya Jijini Dar es Salaam? Mengine yanaogopwa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Tuweze kushare uzoefu wa maisha maeneo haya kwa wale ambao wamewahi kuishi. Kwa upande wa mambo ya usalama, maadili, madili, utulivu, makuzi, tabia n.k.

Wadau wanaweza toa uzoefu wao katika upande wa umalaya, matumizi ya Bangi/Maddawa ya kulevya, uhalifu, mapenzi ya jinsia moja, ubakaji na kuanza mapenzi katika umri mdogo.

Maana kuna maeneo mtoto wa miaka 12 tu tayari watu wamesharuka naye na kumchakata. Hawasubir akue.

~ Buguruni
~ Manzese
~ Kigogo
~ Tandale
~ Kinondoni
~ Mwananyamala
~ Mburahati
~ Mabibo
~ Temeke
~ Tandika
~ Mbagala
~ Keko Mwanga
~ Keko Magurumbasi
~ Keko Machungwa
~ Buguruni kwa Mnyamani
~ Sinza
~ Tabata
~ Mwenge
~ Magomeni
~ Ilala
~ Ukonga
~ Masaki
~ Mikocheni
~ Oysterbay
~ Mbezi
~ Kuunduchi
~ Tegeta
 
maeneo yote ni mazuri kiutafutaji wa kipato, lakini mabaya kimaadili ktk jamii kwa ujumla.
 
FB_IMG_17339075812642045.jpg
FB_IMG_17339075722758586.jpg

Baba yake anatafutwa
 
Back
Top Bottom